Wakazi wa Dar mnakumbuka kauli ya RC?!! Poleni kwa mafuriko!!

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,057
8,721
Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC.

Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau utaratibu wa chakula na mashuka ya kujifunika,ila serikali hii anaeimbwa Mama yupo busy kwao Zanzibar mwezi mzima sasa na kawaachia Tanganyika Makonda na Nchimbi ambao wanapita mikoani na misafara ya maigizo ya trekta na kugawa hela!!


Wakazi wa Dar Es Salaam tangu Jana shughuli zote za kiuchumi na kijamii zimesimama na maafa yamejiri,mji mzima kila mahari ni maji tu yamefurika,je kote huko ni uzembe wa wananchi ama ubovu na uzembe wa serikali kwenye kutengeneza miundo mbinu na kuwajibika?!!
 
Ujenzi wa makazi kiholela bila ya kuzingatia mipango miji ndio tatizo linapoanzia.

SERIKALI WANATAKIWA KUSIMAMIA YOTE HAYA NA SIO KUONGEA MANENO YA KEJELI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
"Kwani Mimi ndio nimeleta mafuriko" in Jiwe's voice

Kikwete aliwapa fidia mkafanya fursa, mkapewa viwanja Mabwepande mmeuza mmerudi tena.

Jiwe alibomoa nyumba zilizo kwenye mikondo kelele zikawa nyingi.

Samia kaamua acha maji yaamue
 
Back
Top Bottom