Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,213
- 3,594
- Thread starter
- #61
Alafu Wakatoliki wana roho wa utoaji kuliko walokole. Wakatoliki wamejenga Makanisa yao ukifika utadhani uko ikulu. Wanatoa na kuwekeza miradi mikubwa inayoendesha nchi.Sasa hao walokole wanaojua kuomba ndio maskini wa kutupwa na kila siku wanaanguka na mapepo huwa hayawaishi
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app