Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Kwenye hoja zinazogusa maslahi ya wananchi ficha upumbavu
 
Mantiki ya hoja yangu ni kwamba hakuna Serikali duniani inayoendeshwa na matamko ya taasisi za kidini.

Never. Na hii ni kwenye muktadha wa Serikali za nchi zinazojitanabaisha sio za kidini.

Mfano uliotoa wa IRAN sio sahihi. Iran ni Islamic Republic of Iran.

Wao wana Baraza la Kidini tena la Kiislamu ambalo ni sehemu ya Uongozi wa nchi
Issue imefika pabaya, punguzeni nguvu za kwenda mbele, pozeni kwanza then mtafute mbinu mpya, be wise guys
 
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Barakala kaa kwa kutulia sindano ya moto ikuingie.
 
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Ni kweli Serikali haiendeshwi na Taasisi za kidini lakini Taasisi za kidini zina nguvu kubwa na mizizi imara iliyojichimbia chini kuliko Serikali ,Hata hivyo mara nyingi Taasisi za kidini hujizuia kutumia nguvu zao kuingilia utendaji wa Serikali ili kuiruhusu Serikali kutimiza majukumu yake sawa na Katiba husika.Serikali inashauriwa sana kuzingatia maoni rasmi ya taasisi hizi yanayohusu utendaji kazi wake.Kupuuza maoni ya taasisi hizi mara nyingi uweza kuambatana na matokeo hasi na yasiyotegemewa kwa serikali husika.

Maoni yangu,

Article.
 
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
 
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Kitendo cha serekali kufanyia kazi mapendekezo ya kanisa Hakimaanishi kwamba serekali ni royal kwa kanisa. Kama mkataba hauna shida na no kwa manufaa ya Wananchi, kuna Haja gani ya kulazimisha ikiwa wananchi wenyewe hawautaki?
 
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Pole, uliambiwa utapewa cheo gani pale DPW!?
 
Hapana ijiendeshe yenyewe na kina Slaa wapo ndani bila dhamana kwa kesi ya Uhaini. Waibadili chochote tuwaone.
Wewe na wenzio mna agenda za siri kuelekea 2025, lakini kama kweli mnamtakia mema Mama yetu kipenzi aliyetufungua minyororo ya utumwa ya awamu ya 5 mwambieni ukweli. Msitumie udhaifu wake wa upole uliopitiliza kumwangamiza.Sala za watu hazitawaacha salama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom