Wakati wa Kikwete makada waliacha kuvaa sare, wakati wa Magufuli kofia ziligombaniwa, sasa kadi zinarudishwa, CCM kuna nini?

Najiuliza tu kwanini wakati wa Shujaa Magufuli watu hawakurudisha Kadi za CCM japokuwa kulikuwa na mapungufu pia serikalini?

Au walikuwa wanamuogopa tu, maana badala ya kurudisha kadi wafuasi wa CHADEMA ndio waliunga mkono juhudi.

Ahsanteni
Si useme tu wakati wa Magu wapinzani walinunuliwa,
Akina Silinde, Waitara lialia, Katambi

Hawakuwahi hata kuuota uwaziri,
Walijukuta tu wamehongwa uwaziri.

Wengine wakapewa udc, wakati huo wewe johnthebaptist ukiwa DC kwa wanywa ulanzi,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Najiuliza tu kwanini wakati wa Shujaa Magufuli watu hawakurudisha Kadi za CCM japokuwa kulikuwa na mapungufu pia serikalini?

Au walikuwa wanamuogopa tu, maana badala ya kurudisha kadi wafuasi wa CHADEMA ndio waliunga mkono juhudi.

Ahsanteni 😀
habari njema wapi zimerudishwa
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Kwani kadi ndizo zinaingia kwenye sanduku la kura. Kwani wapinzani wamepokea kadi ngapi tangu mwaka 1995? Zimewasaidia nini? Mtaji wa CCM si kadi, ni ridhaa ya wapiga kura. Wapinzani acheni kujifool kwa siasa nyepesi.
 
Ridhaa ya wapiga kura au ridhaa ya kuengua wagombea wa upunzan na kuondoa mawakala wa upinzan kwenye vituo vya kupigia kura pamoja na kuingiza mabox ya kura fake za ccm. Nyie wapumbavu wa ccm ndio maana mnashabikia ujinga wa mkataba wa kishenz na warabu mmegeuka makuwadi ya warabu kwa akili zenu za kipumbavu.
 
Najiuliza tu kwanini wakati wa Shujaa Magufuli watu hawakurudisha Kadi za CCM japokuwa kulikuwa na mapungufu pia serikalini?

Au walikuwa wanamuogopa tu, maana badala ya kurudisha kadi wafuasi wa CHADEMA ndio waliunga mkono juhudi.

Ahsanteni 😀
Nadhani hii sasa itawafungua macho wananchi wanaoporwa haki zao, haiwezekani raia wanaporwa ardhi yao na ma ded na madc kisha inagawiwa kwa wenye utajiri
 
Najiuliza tu kwanini wakati wa Shujaa Magufuli watu hawakurudisha Kadi za CCM japokuwa kulikuwa na mapungufu pia serikalini?

Au walikuwa wanamuogopa tu, maana badala ya kurudisha kadi wafuasi wa CHADEMA ndio waliunga mkono juhudi.

Ahsanteni 😀
wataendelea kupoteza, mwenyekiti kasema kuna wizi unaendelea serikalini. Unategemea wanaoibiwa wasiadhibu mwizi.
 
Huu mkataba wa bandari ni kaburi la CCM wamejichimbia bila kujijua..... katoliki wakisema Jambo uvunjika shingo kama utawabishia
 
Kawaida anahamasisha vijana, ADUI APIGWEEEE!!!

Huku watu Wanarudisha kadi!!!!
 
Shujaa alikuwa mzalendo alithibiti wizi hivyo watu walikuwa na Imani kubwa na utendaji wake ndiyo maana kofia zilikuwa zinagombaniwa
 
Kwani kadi ndizo zinaingia kwenye sanduku la kura. Kwani wapinzani wamepokea kadi ngapi tangu mwaka 1995? Zimewasaidia nini? Mtaji wa CCM si kadi, ni ridhaa ya wapiga kura. Wapinzani acheni kujifool kwa siasa nyepesi.
Mtaji wa ccm ni tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom