Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Baada ya kumaliza kozi jkt mujibu wa sheria siku tunarudishiwa simu tu nikajiunga mwenyewe nimtafute mpenzi ile namtumia sms "mambo bby" alichonijibu sasa nan baby wako akasema mm sio baby wako sikujui mm itakua umekosea namba hakyamungu pitshort niliiona nzito had leo hii anajifanya kujtumisha mesej m namzoom tu
Hawaogop ata kuruti
 
Hakuna mwanamke ambae atakuvumilia hujui nimeamkaje nimeshindaje ww upo bize na mambo yako tu Sijawai kuwa kweny mahusiano ya namna hii mwanaume muda wote anawaza hela tu utasema umetumwa na kijiji hapana baba inatosha tafuta ambae unaendana nae kuna muda na mm napenda niwe na ww sehemu mbali mbali kama shoga zangu wanavofanya hapana hapana maisha mema

Tafuta mchaga mkuu, utakuja kunishukuru baadaye!
 
Hakuna mwanamke ambae atakuvumilia hujui nimeamkaje nimeshindaje ww upo bize na mambo yako tu Sijawai kuwa kweny mahusiano ya namna hii mwanaume muda wote anawaza hela tu utasema umetumwa na kijiji hapana baba inatosha tafuta ambae unaendana nae kuna muda na mm napenda niwe na ww sehemu mbali mbali kama shoga zangu wanavofanya hapana hapana maisha mema
Jufunze kuwapa muda wenzi wenu.
 
Back
Top Bottom