Wakati Simba ikitegemea kiwango bora , Yanga yategemea zaidi Ushirikina

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,980
218,910
Ushindi wowote katika soka hutegemea maandalizi bora na makini , mara zote ni lazima timu ifanyie kazi mapungufu yake , sitatoa siri ya mapungufu ya simba yaliyorekebishwa na Tactician hatari Omog ili kuleta ushindi leo , lakini itoshe tu kujua kwamba Mnyama anaua pakubwa !

Wakati Simba ikijipanga kisayansi , zipo taarifa kwamba timu ya Yanga kutokana na ufinyu wa bajeti tegemeo lake sasa ni ushirikina pekee kutoka kwa wanachama wake ( majina yanahifadhiwa kwa sasa ) walioamua kujitolea .
 
mpaka huruma wanahaha!!! Guardiola wao ni huyo mzee!!!
yanga-akilimali.jpg
 
Back
Top Bottom