pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
Tutumieni PM...jamani....
yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!
Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...
For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!
.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!
Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS
wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah
*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!
:rofl::rofl::target: