Mr. Teacher
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 330
- 88
Jamani hivi, mswada unasema wabunge, wawakilishi, madiwani & viongozi wa vyama vya siasa wasijumuishwe kwenye b'se wana 'full time job'. Sasa mimi najiuliza ina maana watachukuliwa watu ambao hawana 'full time jobs' au watachukuliwa ambao hawana kazi kabisa?