Wajumbe katiba mpya kutoapishwa Ijumaa

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Badala ya Rais Kikwete kuwaapisha Ijumaa ya wiki hii, sasa atawaapisha tarehe 30 April mwaka huu.

Tume itaanza kazi yake Mei Mosi, 2012

Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014, itatumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Source gazeti la Mwananchi.

My Take: Kuahirishwa huku kusijekuwa ni minong'ono ya upungufu katika uteuzi wa wajumbe. (Mtei effect?).
 
Kama Misri wameweza kuisimamisha tume nafikiri hata sisi kama tutaona hai reflect jamii nzima ya watanzania tunaweza kipiga stop. Tunaomba CDM mje na mchanganuo wenu tulinganishe.
 
Back
Top Bottom