Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Duuuh! nasikitika Kama Shusho yupo kwenye list,dada mzuri huyo... daah!
 
IKO HIVI, KUIMBA/UIMBAJI NI KIPAJI SIO UTAKATIFU.
SEMA KWA MIAKA MINGI TANGU UHURU, WAIMBA KWAYA WAMEJIJENGEA JINA ZURI KWA SBB YA KUIGIZA KUISHI KITAKATIFU.
LAKINI NI WATU FLANI WACHAFU KAMA MIMI TU.
NIMEWAHI KUWA KARIBU NI ILE KWAYA YA KKKT KIJITONYAMA, AISEEE NI MWENDO WA KUTIA NA KUTIWA
NA NDIO SBB YA KUNDI KUVUNJIKA KWA WACHACHE KUJIONDOA
 
Sio vema kuwalaumu shetani anahila za hali ya juu kupambana na wateule wa MUNGU, anatumia kanuni ya
Mathayo 26:31b......., Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika. so hata wao unaweza kuta hata hawajui kama wanatenda dhambi, ni kuwaombea tu rehema kwa BWANA YESU KRISTO.
 
IKO HIVI, KUIMBA/UIMBAJI NI KIPAJI SIO UTAKATIFU.
SEMA KWA MIAKA MINGI TANGU UHURU, WAIMBA KWAYA WAMEJIJENGEA JINA ZURI KWA SBB YA KUIGIZA KUISHI KITAKATIFU.
LAKINI NI WATU FLANI WACHAFU KAMA MIMI TU.
NIMEWAHI KUWA KARIBU NI ILE KWAYA YA KKKT KIJITONYAMA, AISEEE NI MWENODO WA KUTIA NA KUTIWA
NA NDIO SBB YA KUNDI KUVUNJIKA KWA WACHACHE KUJIONDOA
Kuwa katika haimanishi shetani hawezi kupambana nawe, siku zote anatafute mbinu nyingi kuvuruga kazi ya Mungu na uzinzi ni silaha kubwa anayoitumia Waefeso 6:12 maana tunashindana; falme na mamlaka, wakuu wa giza, majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Tuombeane
 
Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?

Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Wewe sababu gani iliyofanya uachane na Bold?
 
Mtumishiiiiiiiiiiiiiiiiiiii shisho
 

Attachments

  • IMG_1215.jpeg
    IMG_1215.jpeg
    66 KB · Views: 11
Mambo ya Ndoa tuwaachie wanandoa,ningumu kuujua ukweli halisi zaidi ya hearsay tu nyingi......mfano Flora yule mmewe unamuonaje 😀😀
 
Back
Top Bottom