Wajue Viongozi Wa CCM Washington DC

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
upande wa pili wa CCM, tunasikia matawi yanayoanzishwa ughaibuni kuwa ni vituko. baada ya kuiona kideo ya ndugu wa wawili wakitapika pumba kuwa ni makatibu wenezi, naomba, kwa heshima na taadhima tuwafahamu hao viongozi wa chama chatu na jinsi walivyochaguliwa.

Kuna tetesi na malalamiko kwamba watu (wapenzi) walipeana vyeo. Wenyeviti wa CCM vijiji/kata walio na wanachama wengi hawapewi kipaumbele kama hawa wacheza taarabu sijui watapika pumba. Tunaomba majina na wasifu wao

1..Mwenyekiti...?
2..Katibu.....?
3..Katibu Mwenezi...?
4..Mweka Hazina...?
 
Back
Top Bottom