Elections 2010 Wajue Vijana 30 'wasomi' waliotumwa na JK Kukusanya saini za 'wadhamini' wa JK

halafu magharasa hayo hayo ndo yatapewa ubunge wa kuteuliwa .......Tanzania bwana?? ....acha tu.

Kaka umetumia vigezo gani kuwaona kuwa ni magarasa? Majina yao ya mwisho tu ama kuna vigezo vingine?

Omarilyas
 
No worries Mkuu De Novo,

So far tumepata hawa hapa:


1. Ridhwani Kikwete
2. Amir Madega
3. Rajabu Katunzi
4. Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
5. Benno Malika
6. V. Mzindakaya
7. Vicky Makata
8. Bashe
9. A. Nchimbi


Shadow tunaomba haya majina uingie kwenye post yako ya kwanza kabisa amend / add hapo mkusanyo huu wa majina..Jinsi majina yanavyoongezeka unaendelea kuongeza kwenye post ya kwanza nadhani Ita-make sense ..
 
WATU WAMEZUNGUMZIA SURNAME... WE UNALETA UDINI!!!!

watu wengine nama sijui vipi??

Mkuu nakubali nimekosea nimemfahamu vibaya Magezi anyway going back to the issue anaushahidi gani waliotajwa hapo juu ni Magarasa!!!!
 
Back
Top Bottom