Wajue mabalozi wa Dar es Salaam Stock Exchange kwenye kampeni ya 'Wekeza Inalipa'

DSE Tanzania

Member
Sep 20, 2013
27
10
DSC_0755.JPG

Mabalozi wa DSE kwenye kampeni ya wekeza inalipa kutoka kushoto ni Slim Omary, Rose Ndauka,
Yobneshi Yussuph aka Batuli na mwisho kabisa ni Richie Mtambalike.

DSC_0672.JPG
Richie Mtambalike​
DSC_0709.JPG
Yobneshi Yussuph aka Batuli​
DSC_0625.JPG
Rose Ndauka​
DSC_0596.JPG
Slim Omary

Kwa hisani ya: Dar es Salaam Stock Exchange: WAJUE MABALOZI WA DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE KWENYE KAMPENI YA WEKEZA INALIPA
 
Attachments

  • DSC_0746.JPG
    DSC_0746.JPG
    1.1 MB · Views: 207
Last edited by a moderator:
Ninafuatilia vipindi vyenu (itv) kwa ukaribu sana. Tuwaombe mode wauSticky uzi mmoja wa DSE.. nina maswali mengi sana Invisible, Malila, queenkami, Chasha, Zion Daughter, Masikini_Jeuri, Mama Joe, Kubota, Maundumula, Sabayi, Mama timmy na wengineo inawahusu sana hii msiogope! cha muhimu ni kupata taarifa sahihi za wapi na ni kwa namna gani unaweza kufaidika na uwekezaji huu. Tafadhali tushirikiane kuuliza maswali yatakayotufunua upeo kwa faida ya wote (kuuliza si ujinga)

Mkuu uwekezaji katika hisa unalipa sana na ni biashara kubwa sana kwa nchi zilizoendelea hata hapa fursa ipo ila wasiwasi wa watu wengi ni ubabaishaji wetu waswahili hasa linapokuja suala la kulipa dividents mwisho wa mwaka labda DSE watueleze hilisuala lipo vp na huwa wanachukua hatua gani kama kampuni hailipi on time
 
Tatizo ni uswahili, japo sio kwa kampuni zote. Mimi ni mhanga wa TOL na NICOL.
 
Hapo ndipo DSE wanapotakiwa kuingilia kati na kusaidia wawekezaji lakini huwa kimya
hao DSE nadhani hawahusiki na ulipaji wa dividends wao kazi yao kusmoothen flow ya mitaji kuoka kwa potential invetors to companies in need of capital. Kwa profits zinazop[atikana na makampuni ya kitanzania kuinvest bila kufanya utafiti wa kina ni hatari tupu. Kwa mfano ni bora uchukue periodic journals ambazo hawa DSE huwa wanaissue halafu ujitahidi kuanalyse possibilty ya profits, return kwenye investment yaweza kuwa kiasi gani na vilevile fanya analysis inaweza kutumia muda gani kurecover capital invested.
 
Ninafuatilia vipindi vyenu (itv) kwa ukaribu sana. Tuwaombe mode wauSticky uzi mmoja wa DSE.. nina maswali mengi sana Invisible, Malila, queenkami, Chasha, Zion Daughter, Masikini_Jeuri, Mama Joe, Kubota, Maundumula, Sabayi, Mama timmy na wengineo inawahusu sana hii msiogope! cha muhimu ni kupata taarifa sahihi za wapi na ni kwa namna gani unaweza kufaidika na uwekezaji huu. Tafadhali tushirikiane kuuliza maswali yatakayotufunua upeo kwa faida ya wote (kuuliza si ujinga)
Huu utoro unanifanya nikose mengi.Nitafuatilia hii kitu.Asante
 
Mkuu uwekezaji katika hisa unalipa sana na ni biashara kubwa sana kwa nchi zilizoendelea hata hapa fursa ipo ila wasiwasi wa watu wengi ni ubabaishaji wetu waswahili hasa linapokuja suala la kulipa dividents mwisho wa mwaka labda DSE watueleze hilisuala lipo vp na huwa wanachukua hatua gani kama kampuni hailipi on time

hizi ndizo taarifa ninazozihitaji, huwa napenda sana kuwekeza kwa kununua hisa lakini tatizo huwa nasita kama ulivyoeleza hapo juu

Tatizo ni uswahili, japo sio kwa kampuni zote. Mimi ni mhanga wa TOL na NICOL.

duh.. pole sana mkuu. Hizi ndizo taarifa (majina ya kampuni) ninazozisaka kutoka kwa watu waliowahi kuwekeza, katika pita pita zangu huwa nasikia kelele zinazohusu CRDB, precision. Taarifa nzuri huwa nasikia sikia huko twiga cement
 
hao DSE nadhani hawahusiki na ulipaji wa dividends wao kazi yao kusmoothen flow ya mitaji kuoka kwa potential invetors to companies in need of capital. Kwa profits zinazop[atikana na makampuni ya kitanzania kuinvest bila kufanya utafiti wa kina ni hatari tupu. Kwa mfano ni bora uchukue periodic journals ambazo hawa DSE huwa wanaissue halafu ujitahidi kuanalyse possibilty ya profits, return kwenye investment yaweza kuwa kiasi gani na vilevile fanya analysis inaweza kutumia muda gani kurecover capital invested.

hapo sawa kabisa maana hawa jamaa wanatumia madalali kuuza hisa na siku zote dalali ni dalali. Hizo periodic journals nitaanza kuzifuatilia.
swala la dividend kama alivyodokeza Sabayi linahitaji usimamizi wa karibu sana kutoka DSE kama mlezi..lkn nakumbuka DSE walisema kuna chombo kinacholinda haki za mwekezaji.

Huu utoro unanifanya nikose mengi.Nitafuatilia hii kitu.Asante
Karibu sana, haiwezekani kila mtu awe na kampuni yake binafsi
 
Ninafuatilia vipindi vyenu (itv) kwa ukaribu sana. Tuwaombe mode wauSticky uzi mmoja wa DSE.. nina maswali mengi sana Invisible, Malila, queenkami, Chasha, Zion Daughter, Masikini_Jeuri, Mama Joe, Kubota, Maundumula, Sabayi, Mama timmy na wengineo inawahusu sana hii msiogope! cha muhimu ni kupata taarifa sahihi za wapi na ni kwa namna gani unaweza kufaidika na uwekezaji huu. Tafadhali tushirikiane kuuliza maswali yatakayotufunua upeo kwa faida ya wote (kuuliza si ujinga)

Bado issue ya NICOL ina utata mkubwa na hatujapatiwa majibu na uwazi wa habari yenyewe.
My take: invest in DSE registered companies at your own peril!!!
 
Last edited by a moderator:
Kutoa dividends kwa kampuni sio lazima.

Baada ya kampuni kupata faida Board of Directors inaweza kuamua hizo faida izifanye nini, inaweza ku-reinvest katika biashara, kuziweka kama cash kwa matumizi ya baadae au kugawa kama dividends, hivyo mnaposema DSE wasimamie dividends hilo haliwezekani.
 
1 Nina swali ukitaka nataka kuwekeza kwenye hisa ni taratibu gani nitafuata ili nanyi niwe na share katika kampuni yoyote nisadie kwa hilo

2 Mnangaalia vigezo gani kwwa kujiunga hapo dse

3 kingine vipi kuhusu mambo ya gawio? na ni kampuni gani ambayo ni nzuri kuijiunga nayo
 
...Dah! Kumbe Sura Nzuri zinalipa! Sijui sisi ma-Ugly tutapata lini nafasi kama hizi za kutumia sura zetu kuwa mabalozi waBidhaa/Huduma ili kupata Uchache...:A S 39:
 
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba hii DSE ni majanga, hii kitu haitaji mabalozi, this thing need strategic leader who will focus on two things, 1. Improve the liquidity within the index and this is by eliminate red tapes, 2. motivate local fund from big fund such as NSSF to channel fund toward the index.

Huu ujinga wa kuweka mabalozi, hapa hamuendi kuuza sembe au vocha.
 
Wale mnaotaka kujua harakahara jinsi stock market inavyofanya kazi. This is how it works,
  1. Kuna njia zaidi ya moja ambayo kampuni inaweza kuongeza mtaji, moja wapo ni kwakupitia soko la hisa ambapo watu wenye uweleo wa kununua hisa hununua shea.
  2. Kila soko la mitaji limeweka sheria ya kununua shea kwa mtu wa kawaida, kwamba lazima udhibitishe kiasi fulani cha fedha.
  3. Faida za kununua shea zipo mbili, moja utauza shea bei ya shea itakapopanda kwa kuuza na kupata ongezeko ( Capital Gain), au unaweza kupata malipo ya mwaka kutoka kwa kampuni kama tuu kampuni itakuwa imetengeneza faida na kukubaliana na board ya wakurugenzi kulipa dividend. Hii mara nyingi ni kwa kampuni ambazo zipo stable.
  4. Kununua shea lazima uwe na uweleo wa Finance, haya sio maindi au mchicha. Lazima ufahamu stock valution kujua kwamba unanua shea at cost or with premium or under discount. Lazima uangalie kampuni balance sheet na kufahamu kwamba the valuation of the company is accurate

Kununua shea sio sawa na kuweka pesa vikoba au Saccos, kuna kupata na kukosa kama kamali, lazima ufahamu unanunua nini, lazima ujue jee kampuni ina plan, you need a due diligence.
 
ha ha...

Hapa DSE wamefanya wrong choice of "song"

Kwani munauza nguo siku hizi ama? Sababu siamini kama hii ndio njia sahihi ya ku-appeal kwa prospective investors..

I'd rather you used Mengi, Bakhresa, Dewji, Manji and the like...financial investors have nothing to learn from Richie or one of these other folks..its a lie!!
 
hizi ndizo taarifa ninazozihitaji, huwa napenda sana kuwekeza kwa kununua hisa lakini tatizo huwa nasita kama ulivyoeleza hapo juu

duh.. pole sana mkuu. Hizi ndizo taarifa (majina ya kampuni) ninazozisaka kutoka kwa watu waliowahi kuwekeza, katika pita pita zangu huwa nasikia kelele zinazohusu CRDB, precision. Taarifa nzuri huwa nasikia sikia huko twiga cement

Mkuu sina uhakika kama Twiga wamebadilika kama wamebadilika that's good last time nilikuwa Twiga in 2007 nao walikuw wanazingua sana kulipa dividents aisee labda TCC na TBL ndio wana uhakika kidogo lakini hata CRDB nasikia sio mbaya sana wanalipa na CRDB wanatengeneza faida nzuri tu
 
Back
Top Bottom