Wajiskiaje???

lets say anazo nyingi bt akatoa hyo special kwa mgeni wake wa cku hyo. Hvi kumbe gals care abt minor issues eeh? Kazi ipo
labda hio ndio nzuri kuliko zote (alafu kumbuka hapo alikuwa yupo ready to impress) asingeweza kuweka zake ambazo sio nzuri kama hizo.. you know most guys have a one track mind am sure wakati huo mawazo yake yalikuwa kwenye ngono tu na sio consequences..., its not because he doesn't love you, but ni uzinzi tu ndio unamsumbua.., simtetei just trying to assume what happened from the facts you have provided.

Kwahio ushauri wangu kama unamuacha muache sababu ni muongo na cheater not because he is inconsiderate (am sure he was not thinking about mashuka at that time)

sorry maybe minor issues is too a strong a word (what I was trying to say is a compliment to women) that they care more, and are more sentimental than men
 
Back
Top Bottom