Waislamu watakiwa kusomesha

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,765
4,033
Waislamu watakiwa kuzingatia elimu za aina zote,ili ziweze kuwasaidia kwenye maisha yao.Akizungumza kwenye sherehe ya kukaribisha mfungo sita,muasissi wa kikundi cha Firqata’salaam,Ismail Salim,alisema waislamu wanatakiwa kuamka,wasitegemee elimu ya dini peke yake bali wapeleke watoto wao shuleni kuanzia msingi hadi chuo kikuu.Aliendelea kuwaasa waislamu kujenga shule binafsi nyingi,ili watoto wa kiislamu waweze kupata elimu bora na kutoa nafasi kwa watu wengi kusoma.Katika mfungo huu waislamu wanakumbushwa kufanya mema ya kumpendeza mungu kwa sababu wengi wamejisahau.(Chanzo cha habari:Mwananchi 9/02/2010,uk 8)
My take
Kwa kweli huu ni wakati muafaka kwa sisi waislamu kusimama kidete kuhusiana na suala la elimu,.badala ya kuendelea kuwalaumu wakristu au serikali yetu.Tuache majungu na tufanye kazi kwa juhudi, balada ya kukaa misikitini kupiga majungu muda ambao si wa sala.Kwa kufanya hivyo tutaendelea kudidimia na kuwaona wakristu kama maadui zetu.
 
Waislamu watakiwa kuzingatia elimu za aina zote,ili ziweze kuwasaidia kwenye maisha yao.Akizungumza kwenye sherehe ya kukaribisha mfungo sita,muasissi wa kikundi cha Firqata'salaam,Ismail Salim,alisema waislamu wanatakiwa kuamka,wasitegemee elimu ya dini peke yake bali wapeleke watoto wao shuleni kuanzia msingi hadi chuo kikuu.Aliendelea kuwaasa waislamu kujenga shule binafsi nyingi,ili watoto wa kiislamu waweze kupata elimu bora na kutoa nafasi kwa watu wengi kusoma.Katika mfungo huu waislamu wanakumbushwa kufanya mema ya kumpendeza mungu kwa sababu wengi wamejisahau.(Chanzo cha habari:Mwananchi 9/02/2010,uk 8)

na hapo ndipo penye hekima kiongozi wangu
 
Siku zote majungu hayajengi,bali ubomoa jamii iliyoshikamana na inayoishi kwa kushiriana kwa kusaidiana,kuoleana,kuzikana na kwenye matatizo mbalimbali yanayojitokeza kwenye jamii!!
 
Waislamu watakiwa kuzingatia elimu za aina zote,ili ziweze kuwasaidia kwenye maisha yao.Akizungumza kwenye sherehe ya kukaribisha mfungo sita,muasissi wa kikundi cha Firqata'salaam,Ismail Salim,alisema waislamu wanatakiwa kuamka,wasitegemee elimu ya dini peke yake bali wapeleke watoto wao shuleni kuanzia msingi hadi chuo kikuu.Aliendelea kuwaasa waislamu kujenga shule binafsi nyingi,ili watoto wa kiislamu waweze kupata elimu bora na kutoa nafasi kwa watu wengi kusoma.Katika mfungo huu waislamu wanakumbushwa kufanya mema ya kumpendeza mungu kwa sababu wengi wamejisahau.(Chanzo cha habari:Mwananchi 9/02/2010,uk 8)
My take
Kwa kweli huu ni wakati muafaka kwa sisi waislamu kusimama kidete kuhusiana na suala la elimu,.badala ya kuendelea kuwalaumu wakristu au serikali yetu.Tuache majungu na tufanye kazi kwa juhudi, balada ya kukaa misikitini kupiga majungu muda ambao si wa sala.Kwa kufanya hivyo tutaendelea kudidimia na kuwaona wakristu kama maadui zetu.

Mkuu wewe umekuwa mkweli mno!!!! Very good!!!! That is the fact waende shule na wajipange upya kimkakati na wala wasiendekeze uzandiki usio na mashiko.
 
Elimu dunia ni muhimu pia waliyoianzisha hawakuwa wajinga waliona mbali mno
 
Back
Top Bottom