Waislamu wakerwa na JK kutumia Jeshi na nguvu nyingi kwa kutatuwa matatizo ya wananchi.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
vurugu-mbagala-baada-ya-kukojolea-msaafu-quran-3.jpg


Waislamu wengi wa Tanzania Bara wemonekana wakikerwa na kitendo cha Rais wa Nchi ambae ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Kuwatatulia Matatizo yao kwa Kutumia Mguvu Za Kijesshi.

Wengi wanasema hasira zao watazionyesha katika uchaguzi mkuu wa ccm 2015 kuipigia chadema chamaa kikuu cha upinzani ili kiondowe ccm kmadarakani.

Sasa ikiwa itakuwa hivyo na tujalie iwe hivyo yani nguvu za waislamu ambao ni wengi wakishirikiana na chadema jee kweli sisi itakuwa na ubavu wa kuzuwia wimbi hilo na nguvu hio?

Kwa upande wetu wa Zanzibar na harakati za ukombozi hilo pia litatusaidia sana kwa vile Nyani mkubwa akicha angushwa lalobaki tutajuwa jinsi gani Wazanzibar kuwazibiti.

Maana kufa kwa ccm ni kufa kwa power yote ya unyanyasaji kwa kutumia Vikosi vya ulinzi.
Na jengine ambalo ni muhimu nilitaka kujuwa vipi tume ya Mh Warioba na katiba ambayo inatarajiwa kuanza kazi 2014 huku tumebakiwa na mwaka moja tu, chadema kunyakuwa?

Sikuchukuwa mabilioni ya Watanzania walipa kodi kufunja tu.
Maana Chadema inasema Katiba itafumuliwa na kuanza mwanzo agenda ya kurudisha Tanzania huru kwanza halafu ndio kukaa mezani kuangalia maswala ya Muungano kwa wananchi wa pande zote mbili wanataka uendelee au vipi?.
 
Ndio wajue faida ya serikali legelege ya mafisadi!


Hata nami nimeshangazwa sana na serikali kutumia JWTZ ktk purukushani ya juzi!

ccm hili litawagharimu na hawataamini kamwe!
Mabadiliko hakika yanawezekana!
 
Darfur wanaoenda kulinda amani ni polisi au jwtz, kwa wengine wakalinde amani halafu kwetu wakae wanaangalia tu, hiyo haiwezekani.
Charity begins at home
 
usalama wa taifa yaweza ndio walioshauri amiri aagize majeshi yatoke ili kusaidia mapolisi ambao wengi ni waislam kuwadhibiti marafiki, baba na wafadhili wao.
Inawezekana jeshi limehusishwa kwa vile wengi ni wakristu na wasio na dini hizo mbili.
Je inamaana waislam wana nguvu kiasi kwamba polisi hawawezi kuwadhibiti bila msaada wa jeshi la wakurya toka zamani.
 
Very unprofessional stm "waislam wengi"hao wengi wangapi je ulifanya survey?
Hiyo ni sawa na ambaye akaja apa na kusema wakristu wengi wafuraia JWTZ kuingilia fujo za dsm,kumbe ni stm ya yeye mtoa mada
 
Darfur wanaoenda kulinda amani ni polisi au jwtz, kwa wengine wakalinde amani halafu kwetu wakae wanaangalia tu, hiyo haiwezekani.
Charity begins at home

Sio Darfur peke yake, Tuna majeshi Lebanon, Congo, Zimbabwe, Namibia , Botswana, Malawi, Msumbiji, South Sudan (Kiusalama zaidi)(Kenya, Uganda na South Africa ni kimafunzo) achilia mbali nchi ambazo wengi wetu hatuzijui.
 
Usalama kwanza mengine baadae..waislamu,wakristo hata wasio na dini wafanye mabadiliko kwa maslahi mapana ya taifa letu na si kundi fulani la dini!
 
You can't speak for everyone pls speak for yourself.. kama vile yaandikwayo Maoni ya Mhariri
 
Bado wamekuwa handled kama binadamu hao. Wote pamoja na viongozi wao waliowahamasisha ni wahu.ni. Yeyote anayekaidi sheria wachukuliwe hatua.
 
Back
Top Bottom