Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

Status
Not open for further replies.
yawezekana hao jamaa walitoa hiyo kauli maana hawa waislam ni wabaguzi
,wabinafsi
,wakorofi
wabishi
walalamishi
hawajasoma
sasa tabu tu,hata kama watajigawia wenyewe eneo mwisho wa siku wataanza kulalamika tena kuwa wamedhulumiwa.
 
yawezekana hao jamaa walitoa hiyo kauli maana hawa waislam ni wabaguzi
,wabinafsi
,wakorofi
wabishi
walalamishi
hawajasoma
sasa tabu tu,hata kama watajigawia wenyewe eneo mwisho wa siku wataanza kulalamika tena kuwa wamedhulumiwa.

Wewe mbumbumbu Mwingine ambayo ni

mbaguzi
mbinafsi
mkorofi
mbishi
mlalamishi
haujasoma

Na lofa.
 
Me nimesema hii thread itoke..mods vipi ninyi?

Kama wanaotoa sentiments hizi wangekuwa wanaangalia facts kwa makini (kiu-great thinker), wala mada hii isingekuwa even raised kabisa.

Wakristo wako 45%
Waislamu wako 35%
Hao 20% mgao wao ni nini?

Tuzikwepe jazba za makongamano ya watu waliokutana na kujadili mambo kwa kutumia mioyo na hisia badala ya bongo zao!! Come on great thinkers!!!

Waislamu wako 59%
Wakristo wako 30%
Wanakilungu 11%
 
nawashauri wahamie zanzibar au somalia. Tanzania bara si pahala pa udini na hatuhitaji kushindana na wanaotaka kututenganisha. Hivi CV za mashekhe jamani mwazijua????elimu yao mwaijua????????????mtu mwenye akili hatashindana nao,hata Askofu Ruwaichi kasema tuwapime wenyewe.... aibu tupu. Tukumbuke Nyerere alisemaje? MTu mwenye busara akikushauri jambo la kijinga ukamsikiliza atakuona??????????

Nyie wakristo ndio wachokozi namba moja, eti mnajifanya mmesoma, kama kweli mmesoma na mmeendelea mbona inchi zenu za africa ni za mwisho duniani katika maendeleo ?

Kuna umasikini wa hali ya juu, ukimwi, ufisadi, ujambazi, zinaa kwa wingi sana, rushwa, ... acheni kujidanganya

Shikaneni katika kamba moja wala msibaguene kuweni kitu kimoja ili mjenge inchi yenu acheni ubaguzi.
 
Wamezidi hawa waislam kila kukicha wao ni kulalamika tu. Japo wapo watanaopinga hii thread lakini ukweli unabaki waislam wamekuwa walalamishi mno hivyo wakati umefika tugawane hii
nchi ila kila waumini wajitawale kwa jinsi watakavyoona ni bora kwao katika kujiletea maendeleo.

Naona fikira zako zimekaa kiubaguzi sana.

Wee ni mkoloni si mtanzania.
 
definitely wakristu watapata maendeleo ya haraka kwa kuwa hawapendi majungu,wao wanapenda kazi na maendeleo.Ndiyo maana wana vyuo,shule na hospitali nyingi kuliko hata serikali
.

Si kweli,

tazama inchi zingine za kiafrica za kikristo kama vile zimbabwe, uganga, burundi, rwanda, zaire, liberia inchi hizi ni za mwisho duniani kimaendeleo.

Kama utaniambia mtaongoza kwa ukimwi hapo nitakubaliana na wewe.
 
Mods, mjadala huu unapanda sumu mbaya sana.

Please for the national interests tufungieni thread hii.
 
Kwa akili ya kawaida ya kibinadamu nashindwa kuelewa huyu mtu aliye anzisha huu mjadala anamwakilisha binadamu wa aina gani !!!! je anamuwakilisha muislam wa taifa lipi, sidhani kama anamuwakilisha muislamu wa Tanzania? Nchi ambayo haina udini wala ukabila !!!!!!!!!
Sipati picha, mbona watanzania bado hatujafikia huko? Mbona kila dhehebu lina uhuru wa kuabudu mahali popote bila kujali ukristu wala uislamu? Mbona muislamu bado anauhuru wa kuingia kanisani au kwenye mkutano wa injili bila kubughudhiwa na mkristu pia anauhuru wa kuingia msikitini au kwenye mhadhara wa waislamu bila ya kubaguliwa? Sasa tuulizane zaidi, je, ni wakristu wangapi wameoa waislamu na ni waislamu wangapi wameoa katika familia za kikristu? Je hii bado haitoshi kutoa jibu kwamba hapa kwetu Tanzania Waislamu na wakristu wote ni ndugu moja? Iweje leo atokee mtu kutoa madai mazito na ya hatari kama hayo !!!!!!

Kwa maoni yangu naomba serikali iwe makini sana sana na watu wa aina hii kwani haitakii amani nchi yetu. Tufike mahali tuwe na mipaka ya demokrasia ya kuzungumza. Mtu kama huyu anatakiwa akamatwe haraka sana na ahojiwe ili kujua kwamba anamuwakilisha nani katika hili. Sitaki kuamini kuwa huyu kweli ni mtanzania na kwamba ni kweli anazungumza kwa niaba ya waislamu watanzania.
Inawezekana labda ametumwa na baadhi ya watu wasioitakia nchi yetu amani. Ninamaana huenda watu hawa wanatumiwa na baadhi ya viongozi wachafu (mafisadi) walioko ndani ya serikali yetu
ili kuanzisha mjadala mzito ambao unaweza kufunika mijadala mingine iliyopo sasa hivi kama DOWANS, Titcmond, katiba mpya na mauaji ya raia Arusha na Mberali Mbeya. Kama ndivyo basi tumewashitukia. Watanzania sasa hivi tuna machungu na hatudanganyiki mpaka kieleweke.
























Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.

Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom