Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

Status
Not open for further replies.

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.

Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)
 
Unguja,pemba,pwani,lindi,mtwara,tanga na dar es salaam-wapewe waislamu
mikoa yote iliyobaki wapewe wakristu
 
Wakishapewa nchi ipi itapata maendeleo upesi?
 
Hahaha embu wapewe kama huko nako hawatasema wamehujumiwa!Tofauti ni kwamba hawatakua na wakumpa lawama zaidi ya wao wenyewe!!Kwao kutakua kama sehemu wanayoishi waPelestina compare na wanapoishi waIsraeli!!Maendeleo watayachungulia na kuyasikia upande wa pili!
 
Unafikri Waisrael wanaishi vizuri? ha! usiku wa giza nene fungua kichwa we! that is Isra-HELL
 
Wanaofikiria kugawana nchi hii wanamatatizo
Watanzania wote ni ndugu
Kwa nini ujitenge, unataka kufanya nini?
Hili halina nafasi, wapagani nao wakisema wajitenge, kuna nchi kweli hapo?
Fikira mgando na fikira za kale hazina nafasi.
Waache ubinafsi uliozidi
 
Hoja hii si nzuri. Tusifikie hapa. Si Waislam wote waliosema hivyo na si Wakristo wote wanaounga mkono mawazo haya potovu. Uislam na Ukristo hauwezi kutuondolea undugu wetu wa damu kama Waafrika. Mawazo kama haya yapingwe kwa nguvu zote na ikiwezekana mjadala huu ufungwe mara moja.
 
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.

Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)

Ninalaani na ninaipinga hii hoja kama jinsi saini yangu isemavyo daima,
Enyi viumbe wenzangu, na tuepuke hali hii ya utabaka bali tuonapo aina ya mipasuko...na tuwe wepesi wa kung'amua na kusahihisha. Sumu tuipandayo na kuijadili kiuhuru humu jamvini...utabaka ukishamiri hatutaweza tena kuijadili min'ghairi ya outsiders kutuonea huruma nao kututafutia amani katika meza za UGHAIBUNI.
Nalaani kwa ujumla wangu UDINI.
 
Hata kule Indonesia, nchi yenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani, wanalalamika kuwa "wanaonewa!" Saud Arabia ndio usiseme! Nafikiri kuwa huko madrassa wanafundishwa jinsi ya kulalamika hata kama hakuna sababu!
 
I think tuwe tunafanya research kujua ni nini chafanyika ktk madrasa kuliko kupaza sauti,
NDg zangu...UDINI NI SUMU KALI IAMBATANAYO LA LAANA YA MWENYEZI MUNGU kwa kubaguana ndani ya jamii moja iliyoumbwa pamoja, dunia yalilia umoja lakini wa-Tanganyika tunakimbilia kwenye udini.
 
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.

Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)

Hao waliojiita WAISLAMU mpaka wakatoa matamshi hadi ya kutishia Maaskofu mi naamini sio WAISLAMU wa Imani ya kweli, bali ni Waila-Sumu
 
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.

Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)

nawashauri wahamie zanzibar au somalia. Tanzania bara si pahala pa udini na hatuhitaji kushindana na wanaotaka kututenganisha. Hivi CV za mashekhe jamani mwazijua????elimu yao mwaijua????????????mtu mwenye akili hatashindana nao,hata Askofu Ruwaichi kasema tuwapime wenyewe.... aibu tupu. Tukumbuke Nyerere alisemaje? MTu mwenye busara akikushauri jambo la kijinga ukamsikiliza atakuona??????????
 
Mods....toeni hii thread as a matter of urgency!

Me nimesema hii thread itoke..mods vipi ninyi?

Kama wanaotoa sentiments hizi wangekuwa wanaangalia facts kwa makini (kiu-great thinker), wala mada hii isingekuwa even raised kabisa.

Wakristo wako 45%
Waislamu wako 35%
Hao 20% mgao wao ni nini?

Tuzikwepe jazba za makongamano ya watu waliokutana na kujadili mambo kwa kutumia mioyo na hisia badala ya bongo zao!! Come on great thinkers!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom