Waislam: Hoja ni hijabu si kupigwa kwa DC Igunga.

Mbona hujafafanua kuhusu mtandio? Hijabu si hufungwa kwa mapini na hivo si rahisi kuvulika?mbona hii ya huyu mama ni kama mtandio bila mapini? Huyu mama mnafiki sana

Hapa kabla ya tukio kavaa mtandio:

07igu.jpg


Baada ya tukio kakumbuka hijabu:

09_11_72rf7k.jpg

Acha kudanganya watu kwa kubatilisha ukweli; Hata mtoto mdogo anaweza kutambua tofauti katika hizi picha.
NGUO ALOKUWA AMEVAA SIKU YA TUKIO NI TOFAUTI NA PICHA FEKI ULIYOONESHA HAPO (INAONESHA ALIVAA NGUO NYEKUNDU).HUO NI UONGO ULIO DHAHIRI NAKUSHAURI UTAFUTE SOFTWARE YA ADOBE PHOTOSHOP LABDA ITAKUSAIDIA KUBATILISHA UKWELI.
 
Huyo mwanazuo amehoji uhalali wa wanachadema wanaume kumkamata DC mwanamke,akisema hata polisi hawawezi kumkamata mwanamke wao kama ni wanaume,.
Hiyo si kweli, mhalifu anakamatwa na mtu yeyote awe mwanamke au mwanaume, isipokuwa kupekuliwa tu.
Halafu tujiulize-hao CDM walikwenda kumkamata muislamu au mtu waliyemtuhumu kwa uhalifu? Huyo DC alikamatwa kwa uhalifu aliokuwa akiufanya na si kwa sababu ni muislamu. Suala la hijab inawezekana katika kukuru kakara za kumuarrest ilitoka kichwani; mbona polisi wakati wa kumuarrest Tundu lisu shati lilichanika? Kama shati laweza kuchanika itakuwaje hijab iliyovaliwa kichwani?
 
acha kudanganya watu kwa kubatilisha ukweli; hata mtoto mdogo anaweza kutambua tofauti katika hizi picha.
Nguo alokuwa amevaa siku ya tukio ni tofauti na picha feki uliyoonesha hapo (inaonesha alivaa nguo nyekundu).huo ni uongo ulio dhahiri nakushauri utafute software ya adobe photoshop labda itakusaidia kubatilisha ukweli.

wewe ndio mpotoshaji mkuu........siku alovaa nguo nyekundu aliitisha mkutano na waandishi wa khabari kuwajulisha yaliyomsibu.........siku ya tukio alivaa nguo nyeusi na ndio inaonyesha kakamatwa..........elimika

09_11_72rf7k.jpg
Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kueleza alivyoshambuliwa na kudhalilishwa na viongozi na wafuasi wa Chadema katika eneo la Isakamaliwa.(Na Mpigapicha Wetu).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 17th September 2011 @ 12:07​
 
BAKWATA ni jumuia kama zilivyo jumuia zingine za ccm km vile UWT,UVCCM, Jumuiya ya wazazi n.k. Hatushangai kusikia ikitoa tamko ambalo linakibeba ccm. Huu ni wakati ndugu zetu waislam wa kutafakuri na kuamua kutafuta mwakilishi mbadala wa waislam wote kwa sababu tayari BAKWATA kila kukicha imekuwa ikitoa matamko ambayo huhitaji kuwa digrii kutambua wanamwakilisha nani. Badala ya kujikita kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya waislam km mahakama ya kadhi, kujiunga na OIC na kurejeshewa shule walizokuwa wakimiliki awali. Aidha natoa ushauri wa bure kwa BAKWATA kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa iko wazi. Hivyo waende wakajiunge na chama mfu cha CCJ kungali na mapema kwa ajili ya mbio za uchaguz mkuu 2015 kwa kuwa tayari wana mtaji wa kisiasa!
 
bwana mkubwa hata kama ni muharifu kuna taratiibu za kufuata, zipo mamlaka ambazo zimeteuliwa kushughulikia waalifu, kama walimuona ni mualifu walitakiwa kuzipa taarifa mamlaka husika ndo zichukue sheria na sio kujichukulia sheria mkononi. Kufanya vile hakuna tofauti na wananchi wenye hasira wanaoua vibaka badala ya kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Hapa ishu sio hijabu/mtandao ishu ni je wao ni mamlaka halali za kushughulikia suala hilo?



wewe mgeni nini? sasa kama ishu siyo hijabu, cdm wanatakiwa kuomba msamaha wa nini? usipende kudakia habari, huna tofauti na anaye dandia treni kwa mbele. Hapa tunazungumzia tamko na mtazamo wa jumuia ya kiisilamu kuhusu swala hili. unapozungumzia mamlaka halali, je huyo mkuu wa wilaya nani alimpa mamlaka ya kuingia kwenye siasa.
kwa mtazamo wako ukikuta mtu anavunja sheria wewe haikuhusu mpaka waje walinda sheria?
 
mbona hizo sijui hijabu zinavuliwa nyingi tu gesti?

walaumiwe mashehe na maimamu. wanapaswa kuwaambia kuwa hijab ni vazi takatifu (if at all ndivyo) na hivyo wanapoenda kufanya maovu wasivae. Huyo dc kama kweli anaiheshimu hijab kuwa ni vazi takatifu asingekwenda kufanya kazi inayoonekana ya kifisadi

Pia waislamu mnapaswa kumwuliza Kanali msaafu Kipingu kwa nini alipiga marufuku uvaaji wa hijab makongo sekondary.
 
Chochote kingeweza kutokea, kwa sababu iliwaumma kuona wakihujumiwa. Tuelewe kwamba mtu akikasirika anaweza kufanya vituko. Binafsi naomba waislam wasamehe, halafu washiriki kwenye harakati za kupambana na ufisadi na tusikubali kuchelewesha hizo juhudi kwa tofauti zetu za dini.

Kusamehe Hapana! Kwani cdm wamekubali kosa? Kama sivyo msimamo uko palepale!
 
stit boy kwa hakika wewe unaona mbali,nimekuvulia kofia,umetoa ushauri mzuri sanasanasana chadema chukueni ushauri huu muufanyie kazi utawasaidia igunga napia ktk uchaguzi mkuu 2015, ADA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI VITENDO.

Huu ushauri mkashauriane na Mkeo nyumbani!

Inaonekana uelewa wa hawa jamaa ni mdogo sana, yaani walivyokomalia hijabu sijapata kuona. Hiyo si sawa na mtandio tu! Mimi nawakubali wale ma-dada wanaoacha macho tu kama ninja lakini hawa wengine hata siwalewi. Maana sasa hivi hizo nguo ni lukuki na zinavaliwa na kila mwanamke kama fasheni fulani hivi.

Tumbaf zenu yaani mlitaka tumwache mhalifu eti kwa vile kavaa mtandio kichwani? Kwa taarifa yenu huyo mama alikuwa ameficha nywele zake ambazo zilikuwa zimesukwa mabutu au hamkuona? Wala siyo Hijabu ile. Kuna zezeta mwingine eti anauliza kama angekuwa sister wangemvua kilemba? Kwenye purukushani ya kukamatwa huwezi kukwepa hayo lazima kitatoka tu!

Mnaojiita Waislamu wakereketwa hebu tumieni akili zenu vizuri nyambaf nyie, ama sivyo mafundisho mnayopewa huko yanawapotosha vya kutosha!!
 
Wanaudhalilisha uislamu hawa kwa gear ya UCCM
Jamani mungu na siasa wapi na wapi
Mnamtetea mhalifu huyu
 
Hakuna kuomba msamaha na huu ni unafiki tu kwani wameliona hili tu, ni mangapi wanawake wa kiislam wananyanyaswa na waislam wenzao na hawapiki kelele, Mahita ni muislam alivyomnyanyasa house girl wake aliyezaa nae mtoto na kukataa kutunza mtoto mbona hatukuwasikia wakipiga kelele au hata kumshutumu tu!
 
Ndiyo maana wanataka mahakama ya kadhi, kesi ya cdm kumvua hijabu dc ingepelekwa mahakama ya kadhi.
 
huwezi kuelewa kama huuelewi Uislam jinsi unavyo brain wash waumini wake,nimemsikia mwanazuoni aliyekubuhu wa Kiislam asubuhi akimwaga pumba zake, Believe me! jinsi unavyobobea kwenye ilimu ya dini ya Kiislam ndo jinsi unavyotokomea kwenye shimo la wapumbavu. Huyo mwanazuo amehoji uhalali wa wanachadema wanaume kumkamata DC mwanamke,akisema hata polisi hawawezi kumkamata mwanamke wao kama ni wanaume,my take,siku hizi kuna hawa wezi wanavaa hijab/baibui then wanawavizia mahouse girl na kuwalaghai ili kuiba,ina maanisha kama ikatokea nikimfuma akiiba hm kwangu inabidi nimpigie simu mke wangu aje amkamate kama ni mwislam niepuke matatizo, swali Uhalifu ni nguzo ya ngapi ya Uislam,nguzo nizijuazo mimi ni,1.SHAHADA 2.KUSIMAMISHA SWALA 3.KUTOA ZAKA 4.KUFUNGA RAMADHAN 5.KWENDA HIJA...Hizi zingine ambazo ni kinyume na uislam zinatokana na tamaa ya ubwabwa au ? kwa miaka 23 nami nilikuwa mmoja wa mazuzu.

Duh, basi kama ni hivyo naona ndo umezidi kuwa zuzu sasa hivi...kwa kushindwa kumuelewa mwanazuoni alichomaanisha.
 
sasa mbona mwigulu alitembea na mke wa ustadhi tena akampiga kavu kavu waislamu walikuwa wap hapo? Tena akaondoka na chupi yake! Duu! Waislamu bwana! Siwapend kama nin! I swear ingekua hiari yangu ningeifuta hapa nchini haifai kaz ushabiki shit
 
Waacheni hao wanazuoni wa kiislamu, uwezo wao wa kuchambua mambo umeishia hapo. Ni watumwa wa Dini , dini iliwachagua na wala wao kamwe hawakuwahi kuichagua dini na wamekubali kuwa wajinga wa utumwa mbaya kuliko wowote ule.
 
Swali langu ni hivi: MTU ANAYEVAA HIJABU NA AKAFANYA UHALIFU (MATUMIZI MABAYA) KATI YAKE NA ALIYE MKAMATA NANI KATI YA HAO ANADHALILISHA HIJABUI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom