Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,233
Chauro kislemee!agaxuikaakaiyo akai dena amsi
Chauro kislemee!agaxuikaakaiyo akai dena amsi
gaider kung' anaandika'a
sayuu,ulelehh xayegorowa ne iraq laway ayahung ani a goormo babati.dasuren kulowa hhohho,dara,/ang ikahha.from giroy70@yahoo.com
Chauro kislemee!agaxuika
nikiwa arusha kipindi hicho, niliowajua walikuwa na sifa hizi ...
1) wacha Mungu sana
2) wapole sana kwa muonekano ila ni wacheshi sana ukizoeana nao
3) wakarimu sana
4) ni wazuri na watamu mno (ukimpata na baada ya kukudengulia sana kumbe maji mara moja)
5) wanapendana sana kifamilia na ukoo
6) waachiaji kisirisiri sana (unaweza ukawa naye na bado kuna wa kabila lake akawa anammega)
7) opportunists / materialist (baadhi na wengi wao)
8) wana hasira sana sana sana sana (msisitizo uzingatiwe)!
inawezekana wako akawa tofauti, but kuwa makini!
best wishes!!
Hahahaha!unaharibu mkuu!omba tu upewe somo!kuna walimu wengi humu!
loa aleKung sleme a irqwatuwo?
aah usinitenge bhana mi muiraqw
#1,2,3,4 sawa kabisa.. #6 ndo yanifanya nimuangalie kwa macho yote 2 coz kabla sijakutana naye kimwili aliniambia hajawi kudooo ila nilivyokutana naye kweli inshu ilikuwa imebana sana laikin hakuwa virgin hapo ndo mashaka yalikoanzia baada ya kumbana sana akasema aliwai kuumia kwenye baiskeli zamani huwa nakaa naye hata wiki ila sioni dalili za kuwa na mawasiiiano na m2 mwingine ila #6 ntaifanyia kazi
namfeel sana huyu binti hapa naona kila kitu kinaenda sawa cz najua kila m2 na tabia yake ila nimemkubali sana cz heshima utu uelewa mcha mungu vyafanya awe mke wangu wa ndoaBwana shemeji usipende yumbishwa na watu!simama wewe kama wewe na moyo wako!ukianza kumjudge mtu kwa tafsiri za watu utabaki tu kuniharibia dada angu alafu umwache!Make the hay while the sun still shining
eeh...kumbe hapa ni kwa Wairaqw....ngoja nimtafute mkalimani sasa...
And you are the one who makes the rules?!!!!Sasa Wairaque wote wanakulia katika makuzi yanayofanana???
Genetics nazo ni za kabila????
Kama unataka kumjua huyo msichana mchunguze yeye kama yeye achana na hayo mengine...
And you are the one who makes the rules?!!!!
What rules????
Niruhusu nikutongoze kwa PM!
Nimesikia kuwa ni kati ya makabila yanayopotea kwa kasi na baada ya miaka kadhaa inaweza isiwepo.Mungi, Daffi na wengine hebu niambieni, kuna jamaa mmoja mwiraqw alikuwa analalamika sana, anasema mila za kiiraqw ni ngumu sana, imefika wakati sasa, wairaqw wenyewe kwa wenyewe kuoana ni shida, sheria kibao, kila mtu ukimtokea unakuja kujua ni ndugu, mnaita dawi sijui, kwahiyo kinachotokea sasa watu wengi wenzi wao ni makabila mengine, kwahiyo inawezekana kabisa kabila la kimbulu likapotea kabisa.
Hahahaha....
embu anza mara moja maana nasikia kutokutongozwa kunakosesha raha!!!LOLZ