Wairaqw ndivyo walivyo?

Status
Not open for further replies.

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
 
we we we weee....masahihisho........wapare-wabahili
 
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
Nilikuwa na GF wa aina hiyo nikafanya uchunguzi nikagundua hawa ndugu ni maji mara moja wanapokutana na watu wa kwao. Kimila chao si vizuri kumnyima kaka wa nyumbani hiyo kitu.
 
Umekaa nae muda gani mpaka ukimya wake ukutishe? Usimhukumu mtu kwa kabila lake, mhukumu mtu kwa matendo yake maana naona umetoa mlolongo wa makabila na tabia zao. Haya sas tabia za wanawake wa kiiraq ni malaya, wajasiri na wasiojutia maamuzi magumu, wana roho mbaya na nasikia wengi wametahiriwa. Kwa uzuri hapi umefika, nywele wengi utafiki mwarabu, warefu, weupe, macho mwororo. Haya chagua kusuka au kunyoa.
 
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali 
 
Na wewe una tabia gani ya asili???

Ukimya ni tabia ya mtu na sio tabia ya kundi la watu kwahiyo achana na ushamba wa kuendekeza mawazo mgando.
Pia inawezekana bado hajatokea kukuamini mpaka kufikia kufunguka kwako maana hata watu wakimya kupitiliza wapo watu wachache wanaoweza ongea nao kuliko unavyoweza kutegemea....au sio msikilizaji.
 
haya mkuu nimekusoma... ila tambua mazingira ya makuzi na genes characters zinainfluence kubwa ktk tabia za watu thats y i wanted to kno from those who are familiar 2this tribe kama ni tabia zao za asili ama ni individual character??? otherwise thanx
 
Sasa Wairaque wote wanakulia katika makuzi yanayofanana???
Genetics nazo ni za kabila????
Kama unataka kumjua huyo msichana mchunguze yeye kama yeye achana na hayo mengine...
 
Nikusahihishe, wachaga siyo bahili ila wanaijuwa hela! Wapare ndo bahili bwana! Back to the point, hawa waraque mimi nimeishi nao sana Maeneo ya Mbulu, Babati.

Upole ni sehemu ya tabia zao. So ondoa hofu kabisa kama unampenda. Ila tahadhari, hawa wadada ni wavivu sana, yaani hata maji huko vijijini hubebea mgongoni kwa kutumia mitungi na kubeba kama mtoto. Ukiwaona utacheka ufe! pia kuni hubeba kwa style hiyo hiyo.

Kwa huku mjini sitarajia mpenzio abebe kuni na maji, hivyo nakushauri endelea naye. Ila nilitaka kukupa hint kidogo tu za kabila hili.
All the best Mkuu. Kama una swali zaidi, ni-PM.
 
Sasa Wairaque wote wanakulia katika makuzi yanayofanana???
Genetics nazo ni za kabila????
Kama unataka kumjua huyo msichana mchunguze yeye kama yeye achana na hayo mengine...

Haya mama ila najaribu sana kumjua lakini yaelekea ndivyo alivyo
 
Kwanza nikusahishe rafiki sio wairaque ni wairaqw. wako poa tu, wapole, wavumilivu na wana upendo sana. Ila kaka wana hasira sana ukiwauzi, sasa rafiki kama utakuwa huna vitabia vibayavibaya vya vijana wa siku hizi utaweza ishi naye vizuri sana, na atakuwa msaada sana. Ila kama tabia zako ni za manati, akikasirika utajuta kwanini umemuoa. Lakini huyu ni kama kalowea umbuluni sana, achana na hawa ambao wamezaliwa na kuchakachulika mjini.
 
huyu mjini kaenda xl tu kakulia sana Babati
 
Dah! Hawa watu ni waachiaji sana and u will never know kwasababu wanaficha tabia zao kwenye ukimya na usiri wao. Ni wazuru mno kwa muonekano and wako live sana, when uko nao karibu ni raha kwa kwenda mbele ila behind that they are so nasty! But there are exceptional cases I believe.
 
Ndg ya yangu upo!upole ni taabia ya wairaq waliowengi,hawana taabia ya kujikweza,wavumilivu,watu wenye misimamo katika jambo wasiopenda kuyumbishwa,wazuri sana wa sura na taabia ila uzuri wao unawafanya waonekane kama hawajatulia maana wanasumbuliwa na wengi!Kwa ujumla ni watu ambao hawana makuu!ukiwapata uta'enjoy' maisha!Upo hapo shemeji??
 
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali

Ndivyo walivyo, ni wakimya na watu wenye huruma sana!
Ukiona kuna Mwiraqw mwenye tabia tofauti na hivyo ujue ana mchanganyiko wa mbegu za kinyaturu, kwakuwa wairaqw wanapenda kuwatumia wanyapala wa kinyaturu kama valmet au massey ferguson manyumbani mwao!
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! wanyaturu wasinishambulie ndugu zanguni!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom