Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
we we we weee....masahihisho........wapare-wabahili
Preta acha kujitetea!
we we we weee....masahihisho........wapare-wabahili
Preta acha kujitetea!
Ndg ya yangu upo!upole ni taabia ya wairaq waliowengi,hawana taabia ya kujikweza,wavumilivu,watu wenye misimamo katika jambo wasiopenda kuyumbishwa,wazuri sana wa sura na taabia ila uzuri wao unawafanya waonekane kama hawajatulia maana wanasumbuliwa na wengi!Kwa ujumla ni watu ambao hawana makuu!ukiwapata uta'enjoy' maisha!Upo hapo shemeji??
Naas loale garma))
hapana mkuu......ametukosea heshima......
Kwanza habari yako binafsi......
Adosing kila ama!
Magoo, ukimya ni tabia zao, hivyo ndivyo walivyo, hawane neno kabisa hao, ni wewe tuu. Kabila hilo ni jamii za Wambulu, Warangi, Wahadzabe, Wataturu, Wabarbaig, Wanyaturu, Wabalungi na Wasandawe, yaani ni wa kimya na hawana maneno kwenye kila kitu.Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
Magoo, ukimya ni tabia zao, hivyo ndivyo walivyo, hawane neno kabisa hao, ni wewe tuu. Kabila hilo ni jamii za Wambulu, Warangi, Wahadzabe, Wataturu, Wabarbaig, Wanyaturu, Wabalungi na Wasandawe, yaani ni wa kimya na hawana maneno kwenye kila kitu.
Tatizo lao ni moja tuu, hawana roho mbaya, hivyo wengi huishia kuwa na huruma sana kufikia kiwango cha anapohitajika, hujinyamazia tuu ni wewe kushika mkono na kuendelea!
Gamamirah!
Naas loale garma))
Ankuth'aa lowa'ale!.
Dena fa'arita'ag
Ka harer hema?
Hahahah.. hujatulia we
Dena Amsi a amar e! Neto årese!
Nimetulia ila umeninukuu sivyo!
Laway hung slemerooooo!!!!!masan gilinda' amila gan!!!!!ti slaaneeeAso'a lowe!