Waijua nchi ndogo ya Lebanon ndani ya Tanzania?

sijaelewa raisi wao ni nani vp kuhusu vice na pm nao ni akina nan vip mkuu wa TISS wao ndo naaani na uchaguzi ni oktb au hadi january
 
Asante mkuu kwa taarifa hii. Nitakwenda kufanya tour mitaa hiyo nijionee kwa macho unayoyazungumza

mkuu lakini umesikia ushauri?hicho kiatu na suruali badilisha,wallet iwache nyumbani beba buku tu kama unataka kununua hiyo kitu inayopatikana hapo
 
Sema Washkaji Wako Poa, nakuhusu ngeta ni ngumu kwa kuwa Usalama wa taifa wanazunguka kila wakati Huku Kwa Pembeni kukiwa na Wanafunzi Wa Vyuo mbalimbali wakipunga Upepo na Hata Kujisomea..

lakini Tahadhari ni Lazima
 
dah Yericko rudi basi nipate kukupa feedback ya yalionikuta huko.
 
Mtu wa kawaida ambaye sio raia halali akiingia kuna usalama??? Je watanizama ama niaje??? Huko lebanoni ya bongo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom