Mbinu za kuzuia Mapinduzi ya kijeshi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi.

Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini kisaikolojia utaichukua hiyo kazi.

Ndio wanajeshi sasa. The primary task ya jeshi lolote ni kulinda mipaka ya nchi husika. Yani jeshi kazi yake ni kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje.

So, kama wanajeshi wanafanya mazoezi ya kivita kila mara, wanapanda vyeo, wanakula vizuri na kulala vizuri kwa lengo la vita na hakuna vita, unadhani kitu gani kinaweza kutokea?

1. Kwanza wanaweza kuanza kuwa na mawazo ya uasi na kufanya mapinduzi.

2. Wanaweza kupiga raia mara kwa mara au kufanya uvamizi kwenye maeneo ya raia, kuiba mali zao na kuwapiga, hii inaweza kutokea.

So, huwa serikali mbalimbali zinafanya kitu gani kuzia hali hizo?

1: Majeshi kufanya kilimo. Hapa Tanzania na hata maeneo mbalimbali, majeshi yanalima kila aina ya mazao, kule Dodoma Makutopora wanalima Zabibu.

2. Mission za nje ya nchi kama vile za Umoja wa Mataifa kama vile MONUSCO au kule Lebanon, Sudan na nchi nyingine.

3. Kufanya usafi mitaani, hospitalini, sokoni na kutoa msaada wakati wa majanga.

4. Wanajeshi wastaafu wale wakubwa kupewa vyeo serikalini kama Ubalozi, Uwaziri na nafasi nyingine kuondoa au kupunguza ushawishi wao ndani ya jeshi.

Hizo ndio njia serikali mbalimbali hufanya, na hii ni duniani kote.
 
Duh, yaani umekuja na hii kuhalalisha Wanajeshi wetu kuokota makopo na kusafisha mitro hii inayojuja kinyesi .... Tutajie ni nchi gani ambayo wanajeshi wake wanafanya usafi mitaani!!
 
Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi.

Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini kisaikolojia utaichukua hiyo kazi.

Ndio wanajeshi sasa. The primary task ya jeshi lolote ni kulinda mipaka ya nchi husika. Yani jeshi kazi yake ni kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje.

So, kama wanajeshi wanafanya mazoezi ya kivita kila mara, wanapanda vyeo, wanakula vizuri na kulala vizuri kwa lengo la vita na hakuna vita, unadhani kitu gani kinaweza kutokea?

1. Kwanza wanaweza kuanza kuwa na mawazo ya uasi na kufanya mapinduzi.

2. Wanaweza kupiga raia mara kwa mara au kufanya uvamizi kwenye maeneo ya raia, kuiba mali zao na kuwapiga, hii inaweza kutokea.

So, huwa serikali mbalimbali zinafanya kitu gani kuzia hali hizo?

1: Majeshi kufanya kilimo. Hapa Tanzania na hata maeneo mbalimbali, majeshi yanalima kila aina ya mazao, kule Dodoma Makutopora wanalima Zabibu.

2. Mission za nje ya nchi kama vile za Umoja wa Mataifa kama vile MONUSCO au kule Lebanon, Sudan na nchi nyingine.

3. Kufanya usafi mitaani, hospitalini, sokoni na kutoa msaada wakati wa majanga.

4. Wanajeshi wastaafu wale wakubwa kupewa vyeo serikalini kama Ubalozi, Uwaziri na nafasi nyingine kuondoa au kupunguza ushawishi wao ndani ya jeshi.

Hizo ndio njia serikali mbalimbali hufanya, na hii ni duniani kote.
Hakuna njia ya kuzuia mapinduzi ya kijeshi kwa sababu wanajeshi wanazo silaha.
 
Tumeshaponea mara kadhaa.

Kwa mfumo walioweka baada ya hapo ni ngumu kuja kutokea na wala hata sitamani yatokee maana Jeshi wakishaingia madarakani kuwatoa sahauni.

Nigeria tangu waingie ni wanapokezana tu na jeshi ndio limegeuka mfumo rasmi wa watu kushika nafasi za madaraka na kupata maendeleo.
 
Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi.

Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini kisaikolojia utaichukua hiyo kazi.

Ndio wanajeshi sasa. The primary task ya jeshi lolote ni kulinda mipaka ya nchi husika. Yani jeshi kazi yake ni kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje.

So, kama wanajeshi wanafanya mazoezi ya kivita kila mara, wanapanda vyeo, wanakula vizuri na kulala vizuri kwa lengo la vita na hakuna vita, unadhani kitu gani kinaweza kutokea?

1. Kwanza wanaweza kuanza kuwa na mawazo ya uasi na kufanya mapinduzi.

2. Wanaweza kupiga raia mara kwa mara au kufanya uvamizi kwenye maeneo ya raia, kuiba mali zao na kuwapiga, hii inaweza kutokea.

So, huwa serikali mbalimbali zinafanya kitu gani kuzia hali hizo?

1: Majeshi kufanya kilimo. Hapa Tanzania na hata maeneo mbalimbali, majeshi yanalima kila aina ya mazao, kule Dodoma Makutopora wanalima Zabibu.

2. Mission za nje ya nchi kama vile za Umoja wa Mataifa kama vile MONUSCO au kule Lebanon, Sudan na nchi nyingine.

3. Kufanya usafi mitaani, hospitalini, sokoni na kutoa msaada wakati wa majanga.

4. Wanajeshi wastaafu wale wakubwa kupewa vyeo serikalini kama Ubalozi, Uwaziri na nafasi nyingine kuondoa au kupunguza ushawishi wao ndani ya jeshi.

Hizo ndio njia serikali mbalimbali hufanya, na hii ni duniani kote.
Hii mada inatusaidiaje?
 
Back
Top Bottom