Waigizaji bora wa muda wote India

hiyo Google uliotumia kugoogle imekudanganya,kuna bora sana ambao uwajui
Unaweza changia kw vithibitisho na si kwa kuongea tu!
Unaweza weka list unayopendekeza na tukaiangalia kama ni kweli
Au unaweza toa mhusika yeyote pale juu na kuweka wa kwako ili tuone kama unachoongea kina ukweli
 
Mchongo kivp
Indian wana tuzo zao za heshima za mwaka zinaitwa 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐟𝐚𝐢𝐫 𝐚𝐰𝐚𝐫𝐝𝐬 tuzo hizi ni no 1 pale north india na ni za heshima kwa wasanii, anaeongoza kwny tuzo hizo ni mtaalamu SRK akiwa na 8 akifuatiwa na kamal hassan mwenye 5, then ranbir kapoor mwenye 4 huku Hrithik Roshan, Aamir Khan na Amitabh Bacchan wakiwa na 3 wote, Seif Ali Khan akiwa na 2
The same time akshay kumar, Salman Khan, nk wakiwa hawana kabisa

NB: Kichaa Aamir khan alisusia tuzo hizo kwa kusema zina upendeleo na hazina usawa

Hv anaingia vipi srk then kajol asiingie!!???

Hahah!! Unamchuklia poa ranbir kapoor!!??
Hhahah!!! Broh yule jamaa anajua kuigiza acha masihara, labda tu ni kwa sababu kaanza kuwika kipind cha karibuni, then naomba ukaangalie barfi, Rockstar, Yeh jawaan Hai Deewani na Ae dil Hai Mushkil zote za ranbir

Inasemekana kama Hrithik Roshan angetoka kipindi cha SRK basi Hrithik angemgalagaz vibaya Srk maana jamaa ana kipaji kikubwa cha kuigiza than srk,
Narudia tena Hrithik Roshan ni balaa jingin kaka.

Mkuu punguza mihemko, Hrithik Roshan toka adebue ameshindwa kupindua meza kwa KHANS, KHANS wana rule Bollywood kwa zaidi ya miaka 30 sasa.

Ranbir Kapoor mpaka leo ana 40 plus bado anaendelea kuitwa future Super Star. Wakati KHANS walipokua na umri wake walikua kwenye peak zao za ku rule. Hao majamaa wako ni overrated kinachowabeba ni udini tu. Kwa vile KHANS ni waislamu wanazi wakihundu wamekua wakiumia sana na kujaribu kuwabeba wahindu wenzao kuwa challenge KHANS ila wamishindwa kabisa.
 
Tabu namkubali sana huyu mama kwa jinsi anavyoweza kucheza uhusika wowote kwenye movies kitu anachowazid wanawake wengi Bollywood, Madhuri Dixit siwez sahau uwezo wa huyu mama pamoja na rani mukherjee, nawaelewa sio kuwajua tuu!!
RIP SRIDEV

kiukweli ni mafundi lakini imekuwa changamoto kuingia kwenye ile list ya kufa na kupona

Kajol hakawahi kufikia Legacy za Madhuri na Sridevi, hao madada wawili ni greatest ever.
 
Aamir Khan ni Hollywood material yule. Ni design ya waigizaji kama Daniel Day Lewis. Anajua kuuvaa uhusika haswa.

SRK ana vitu vyake naye, ila ni pure Bollywood material na nyota yake iko juu sana ila roles zake nyingi, japo sio zote, zina tendency ya kufanana.

Amitabh Bachchan, an angry young man, sina la kusema... anajua sana huyu mzee!

Halafu list yako imeangalia leading actors tu. Kuna character actors wengi wako vizuri tu. Mf. Amrish Puri, Kay Kay Menon.

Kuna Nawazuddin Siddiqui, huyu alianza kama character actor ila amekuja juu kiasi cha kupewa leading acts japo hana connection ya undugu.

Kay Kay Menon ni mwisho wa matatizo, bila ya kumsahau Omi Puri.
 
Ndiyo SRK ni namba moja duniani. He is the richest bollywood star na ana followers zaidi ya billion moja duniani kama sikosei. Yeye ni megastar hao wengine bado hawajamfikia.

Pia ana movie yake DDLJ ilikuwa released 1995 lakini mpaka leo inaonyeshwa kwenye theater moja India (imekamata rekodi ya dunia).

Salman Khan yeye ndiye maarufu kwa India akifuatiwa na Amir Khan. Amir Khan yeye amekamata namba moja China tu.

SRK ufalme amenyang'anywa na Hrithik Roshan. Na movie zote walizocheza pamoja SRK amepotezwa vibaya mno.

Kuna kipindi kulikuwa na bifu kati yao ,SRK wivu ulimzidi.
 
Ulishajiuliza kwa nini DHOOM 4 wamemendekeza Hrithik Roshan au Tiger Shrof na sio Amir Khan?
Wewe dhoom 3 amir Khan anakufa na pacha wake unategemea dhoom 4 awemo wakati tayari ameshakufa au ulitegemea kama g.i.joe rise of cobra snake eyes anakufa ila g.i.joe retaliation anaonekana akufa madirector wameona hiwe hivyo

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Amir Khan hata Ajay Devgan hamuwezi sembuse Hrithik?

Ulishajiuliza kwa nini Hrithik anaitwa The Action hero?
Acha masihara yako kaka
Linapokuja suala Aamir Khan ( Mohammad Aamir hussain Khan) india nzima inaelewa anaeongelewa hapo ni kichwa kimoja kinachojua kuigiza vibaya sana

Sasa unapokuja kumleta Hrithik mbele ya Aamir I swear hata Hrithik mwenyew atakushangaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom