Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

pengine hufaham maana ya neno siri au unapinga kitu usichokijua. unamfaham ninayemzungumzia ni nani? unafaham mimi ni nani? ungenyamaza mbona usingeonekana hujui? unafaham maana ya kuwa anonymous? humu ni sehemu ambayo kila mtu yupo huru kuongea a place where we dare to speak. hunifaham sikufaham. hilo wewe unaliona kama nimetoa siri ya ndoa? by the way siri unazifahamu? huzifaham. kila jambo linapopitiliza ni tatizo hivyo kwa mtu mwenye akili timamu utataka kujua wenzako wanakumbana nalo? sababu ni nini? kesho na keshokutwa unakuta tatizo ni kubwa unaenda hosp wanakwambia lilianza lini unasema ni miaka 5 imepita .wanakwambia madhara yake ndo haya sasa.

na mtu akishafikia hatua anajamba mbele za watu,kila sehemu anapokuwa bila mashaka unadhani ni suala la siri tena? kila kitu kina kipimo na kama wewe unaona hili ni kutoa siri basi unaonesha una ufaham mdogo sana wa siri na maana ya kuweka mambo kama haya mahali hapa.

Mkuu Huyo ni mkeo. Huyo ni mtu unayespend the rest of your life with. Binafsi sioni hata kama unalielewa hilo. Maana kama unamheshimu isingepata idea ya kuomba ushauri humu ukiongezea na nanukuu "nimemkagua sehemu yake ya haja kubwa" i find it hard to belive that u have what it takes to be a husband, rulling out being a father.
 
wenzio baby akijamba unamwambia pole baby,
Na unamuuliza vip haujaumia???

Kama ana yake basi mpigie mana anakubeep.
 
pengine hufaham maana ya neno siri au unapinga kitu usichokijua. unamfaham ninayemzungumzia ni nani? unafaham mimi ni nani? ungenyamaza mbona usingeonekana hujui? unafaham maana ya kuwa anonymous? humu ni sehemu ambayo kila mtu yupo huru kuongea a place where we dare to speak. hunifaham sikufaham. hilo wewe unaliona kama nimetoa siri ya ndoa? by the way siri unazifahamu? huzifaham. kila jambo linapopitiliza ni tatizo hivyo kwa mtu mwenye akili timamu utataka kujua wenzako wanakumbana nalo? sababu ni nini? kesho na keshokutwa unakuta tatizo ni kubwa unaenda hosp wanakwambia lilianza lini unasema ni miaka 5 imepita .wanakwambia madhara yake ndo haya sasa.

na mtu akishafikia hatua anajamba mbele za watu,kila sehemu anapokuwa bila mashaka unadhani ni suala la siri tena? kila kitu kina kipimo na kama wewe unaona hili ni kutoa siri basi unaonesha una ufaham mdogo sana wa siri na maana ya kuweka mambo kama haya mahali hapa.

Basi endelea kumkagua sehemu yake ya haja kubwa. Na kufungua mijadala partaining ushuzi wake inaweza saidia.
 
Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. mimi na mke watu tuna watoto wawili. ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. mke wangu anapenda kujamba....jamani acheni kabisa. yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana.nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.

na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. awe amekula wali samaki atajamba. si mchana si usiku. ye muda wote ni hali hiyo. nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au... sijapata uthibitisho wowote bado.

lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara,raha na la kustahili sifa.yaani ana enjoy sana hilo jambo. lakini starehe yake kwa wengine ni kero... nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo. too much is harmful.

Mijitu kama wewe inayojitia perfect,haichukulii mwanadamu mwingine kwa utu wa kibinadamu ..unaangalia mapungufu,hufai literally..

Wewe ndio hujambi?Wewe ndio mwanadamu perfect kimwili zaidi ya wengine wote?

Kama huchukulii mapungufu ya kibinadamu kwa uzito wake basi you have very poor judgement...kajiumba yeye?

Tena ni tukio involuntary,haja control nalo akiwa amelala,halafu bado unakuja hapa unaelezea ujinga.Ni tukio la kibaolojia,la kimwili,sio tukio la yeye kufanya decision labda useme kafanya poor decision..Angekua anabeba matakataka toka nje ya nyumba kuingiza ndani then hilo ndio tatizo...mwili kufanya processes zake yeye kama nafsi anahusika makusudi?

Mtu anaweza zaliwa na mapungufu ya kimwili halafu ulivyo juha unaweza mcheka au kumkosoa au kumu-offend as if kajiumba yeye,au alikua na control.

You are beyond me aisee
 
em kidogo twende taratibu hapa.. upo nae mwaka wa nne je, hiyo hali ilikuwepo tangu mwanzoni au ndo imeanza asaivi???.. na kama tangu mwanzoni ulishawahi kufanya tiba gani..!!????
 
Back
Top Bottom