Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 38
Sawa tutafika tu
Last edited:
Juzi nilimsikia Mzee Dewji akisema wahujumu uchumi nao ni mafisadi tu.
Mimi namuunga mkono MIA KWA MIA. iko mihujumu mikubwa tu hapa nchini, wamehujumu mali za UMAA hasa MABENKI yetu, Akina MKapa walilazimisha NBC ijitenge izaliwe NBC ili wahujumu PAPA wenye madeni Makubwa akina naniii wapate pa kuponea, baada ya Kutengwa NBC akauza na hatimaye NMB kalazimishwa iuzwe pia. jamani tuwatafuteni hao wadeni wa NBC, kuna mmoja aliwahi kutajwa akatishia kwenda mahakamani gazeti likasema dawa ya deni ni kulipa sikusikia tena akienda mahakamani.
Wahujumu PAPA = MAFISADI PAPA