Kwanini kesi za uhujumu uchumi na ufisadi zilimalizwa kwa plea bargaining na sio kwa kesi za makosa mengine?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,040
Wadau naomba ufafanuzi.Wakati wa utawala wa awamu ya 5 kesi za uhujumu uchumi na ufisadi zilimalizwa kwa mtindo wa plea bargaing tu

Na mtindo huu uliwafanya wahujumu uchumi na mafisadi kutokufungwa licha ya kukiri kutenda kosa.

Najiuliza je plea bargaing ilianzishwa kwa makosa hayo mawili tu?Kwanini haikuhusisha makosa mengine au ndio sheria ya plea bargaining ilivyoundwa?


Sent from my sm-a145r using jamiiforums mobile app
 
Kwa sababu serikali unataka Fedha na magereza zimejaa

Ni kweli ni utaratibu unaookoa muda na hasara ila ni budi utumike kwa maslahi mema ya Nchi na sio kuwakwepesha wahalifu wa kukusudia mkono wa Sheria. Au kwa njia ya kukomoa watu wengine

Au kinufaisha watu Fulani. Hapa Tanzania pesa zilizolipwa kwa plea bargain zililipwa kwenye account ya DPP na chakushangaza zaidi inasemekana zilipelekwa China!!!
 
Wadau naomba Ufafanuzi.Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 KESI za UHUJUMU UCHUMI na UFISADI zilimalizwa kwa MTINDO wa PLEA BARGAING TU
Na Mtindo huu uliwafanya Wahujumu Uchumi na MAFISADI Kutokufungwa licha ya KUKIRI KUTENDA KOSA.
Najiuliza je PLEA BARGAING ilianzishwa kwa MAKOSA hayo MAWILI TU?Kwanini haikuhusisha MAKOSA Mengine au NDIO sheria ya PLEA BARGAINING ilivyoundwa?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Mi mmoja wa wale waliomwandikia barua Magufuli kuomba plea bargaining.
Of course,sikuiita "plea bargaining",kwa sababu hii ni technical term which I did not know about.
Nilisema tu watu wakubali makosa,waachiwe waende nyumbani.
Lakini sasa I realise kazi ya serikali unaweza kushauri upole,kumbe ukali ndo unahitajika.
Au unaweza kushauri ukali,kumbe subira ndiyo inahitajika.
Ukishauri upole kila wakati kama Cardinal Pengo,unaweza kumpotosha kiongozi.
 
Pamoja na kutaka Fedha na Magereza kujaa je Kwanini PLEA Bargaing haikufanyika na kwenye Makosa Mengi ili ipate fedha na kupunguza Ujazo wa Magereza?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kimsingi PLEA bargaing iliwekwa kukomoa watu. Hayo makosa mengine yana dhamana kwaiyo hakuna ambae angekubali kutoa pesa wakati anaweza kuwa nje ya magereza kwa dhamana wakati kesi inaendelea ndio maana PLEA bargaing ikawekwa kwenye uhujumu uchumi tu kwa sababu ni mashataka ambayo hayana dhamana, kukaa herezani wakati kesi inaweza kuchukua mpaka miaka mitano haijaisha mtu anaona atoe hela tu anunue uhuru wake.
 
Mi mmoja wa wale waliomwandikia barua Magufuli kuomba plea bargaining.
Of course,sikuiita "plea bargaining",kwa sababu hii ni technical term which I did not know about.
Nilisema tu watu wakubali makosa,waachiwe waende nyumbani.
Lakini sasa I realise kazi ya serikali unaweza kushauri upole,kumbe ukali ndo unahitajika.
Au unaweza kushauri ukali,kumbe subira ndiyo inahitajika.
Ukishauri upole kila wakati kama Cardinal Pengo,unaweza kumpotosha kiongozi.
Wapo waliokubali makosa wakatoka lakini kazi ziliisha wapo waliokomaa akajawatoa mama wanaendelea na kazi Hadi kesho so maisha ni karata itakavyoangukia,unaweza ukaliwa au kula
 
Wale wana target hela ndefu sio kesi za kuku
Sahihi mkuu! Ilikuwa ni akili kubwa ya kazi, pengine uunganishe Msoga clan 1000 na bado huwezi pata maono yale.

Si kweli kuwa alifanya kwa wenye pesa kubwa za wizi tu; kwa utaratibu, wote waliogushi taarifa zao serikalini(vyeti feki) sheria inasemaje kuhusu wao?

Walipewa uhuru ila watoke kwenye nafasi zao, full stop! Na kama walionewa, sio kipindi hicho wala awamu hii ya kizimkazi, hakuna aliyepeleka shauri mahakamani kusema alionewa na kuthibitika kuwa hakughushi!
 
Tanzania Utawala Wa Sheria Haupo Maana Rais Yupo Juu Ya Sheria Zote Unazozijua Wewe. Tazama Hii Kesi Ya Hovyo Ya Wabunge 19 Utajua Hata Wasomi Wanatia Kinyaa





Wapo Wabunge Wa Aina Mbili:-
Wabunge Wa Kuchaguliwa Na Wananchi Ambao Watatokana Na Vyama Vyao Ya Siasa
Kuna Wabunge Wa Kuteuliwa Na Rais



Wanaotokana Na Vyama Vya Siasa Wakifutwa Uanachama Na Chama Chao Muda Huo Huo Na Ubunge Unapotea. Tazama Vituko Vya Tanzania Sasa
 
Back
Top Bottom