WAHI: 1 hour remained to get Partion software

niko najaribu kidownload, ila speed siyo nzuri sa sijui kama nitacatchup with time.
 
Mi nahisi nimechelewa. Ila kila siku wanatoa software moja bure. Sijui baada ya hii watatoa nini!
 
Kumbe hawa jamaa wanataka ukipakua software zao basi uzitumie on the same day, ukitumia next day inagoma!!!!!! Jana nlipakua leo naona imekataa kuactivetika, imekula kwangu!!!
Ila kuna ishu nataka niifanyie majaribio, ikitiki itakuwa powa na ntakujulisheni.

Leo kuna software ya

Audio Recorder 1.5
 
Back
Top Bottom