Wahaya wa kanyigoo....

Wakuu pamoja na maelezo ya ziada juu ya wakanyigo nadhan twawezakua tunatoka kwenye mada, swala hapa ni tabia za hawa ndugu hususan wanawake zikoje?
 
Wakuu pamoja na maelezo ya ziada juu ya wakanyigo nadhan twawezakua tunatoka kwenye mada, swala hapa ni tabia za hawa ndugu hususan wanawake zikoje?

tuna tabia nzuri sana, tunajua mapenzi yaani utapagawa ukiwa nasisi
tunajua kupika, tunapenda usafi
 
Wewe mtoa mada kuwa muwazi. Ndio maana nimekuuliza umetumwa? Nahisi wewe ni muhusika umeona noma kusema ukweli. Kama ni kweli shemejiyo sifa wazitakiani? Au unataka kumendea vya watu? ALafu kweli rafikiyo anakwambia girlfriend wangu mtamu, is it usual. Au ndio na wewe umeanza kuwa na interest na huyo shemejiyo?
 
Nina pata hisia ni wewe, huwezi mdescribe msichana wa mwenzako kihivo, eti nyuma amejazia lol
 
Code:
kuna  mshikaji wangu anampenz wake mhaya tokea kanyigo bas mwenyewe anamsifia  anajua mambo kweli, kwa wanaojua tabia or sifa za wanawake / watu  wahuko mtwambie!

alipomsifia alimsifia nini hebu longa kwanza............................
 
eti wanajua sana mapenzi, wakarimu, wazuri wa tabia, mnaowajua mtujuze!
 
Wahaya mwanzo mwishooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unaulizia ukweli ili iweje bana? We fanya namna hii.............then siquirt it otherwise utapigwa topito!!!
 
kuna mshikaji wangu anampenz wake mhaya tokea kanyigo bas mwenyewe anamsifia anajua mambo kweli, kwa wanaojua tabia or sifa za wanawake / watu wahuko mtwambie!

Unataka sasa kutukana makabila ya watu. ACHA HIYO MPUUZI!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Topic ya kishenzi, moderator toa matusi haya hadharani, an immorality of the highest degree!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom