Wahaya kwa matambo kiboko!!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,675
40,927
Nakumbuka enzi hizo napoa house moja na msela wangu Mhaya, ilikua balaa..yaani jamaa akinunua maziwa ya mtindi au juice hamalizi yote anaacha kidogo halafu anaweka juu ya kabati la TV au meza ya sebuleni ili mademu wake wakija waone , anaviacha hapo mpaka vinaoza...hehe...wageni wakija lazima aanze matambo yake ya kupiga simu za bai kali..hehe chezea wahaya wewe ni noma..
 
Nani amemsikia Prof, Tibaijuka leo na hotuba yake? kha! "natuma salamu kwa mama yangu akiwa muleba anasikiliza hotuba yangu".......and I was like whaaat?
 
no comment!

Comment lazima usiwenayo mkuu, maana kwa matambo tu..hamjambo..jamaa alikua ananiacha hoi sana nimemiss mambo yake...yaani anaweza kusanya mademu kama 4 hv sebuleni ni yeye tu ndio anaongea halafu kwa sauti ya juu..mara aseme oo..naenda airport kumpokea sijui nani nani anisindikize..ili mradi tu matambo..
 
Hallow mama koku mwambie waoshe ile benzi nyekundu ntaitumia jioni na ile vogue wasiifunue cover ntatoka nayo kesho,vp ile hummer ishawarudisha watoto shule? Pia mkanunue ua mliweke ghorofan kwangu pale napopumzika halafu sikusikii vizuri nadhan hii iphone 4s yangu inazingua itabidi nitumie ile simu yangu ya mwanzo samsung gallaxy s3
 
Naona Bishanga wamemuingiza msitu wa Mabwepandw sijui kama atatoka salama, wabaya wake wote watakuwa wamepata pa kisemea tehe tehe tehe tehe tehe.

we waache,niko msitu wa pande napiga jaramba,nikiwashukia leo ndo watajua Bishanga Abashaija Ayanyampile Olwazi Lukatika watajua ni nani.
 
We Bishanga si ni juzijuzi wakati Mgimwa anadeclare private car registration kua sasa ruksa mtu kuweka Plate No kwa jina lake na itakua Ml5 for 3 yrs term.
Bishanga ukadai upewe utaratibu unataka kuweka jina lako ktk bajaji zako 3!
Hayo sio makidai ?
 
Nani amemsikia Prof, Tibaijuka leo na hotuba yake? kha! "natuma salamu kwa mama yangu akiwa muleba anasikiliza hotuba yangu".......and I was like whaaat?

unajua mpwa nilivyoiona hii sredi kabla ya kuifungua nilihisi labda mleta uzi alikua anataka kuongelea tambo za Prof. Tibaijuka!, mama ana mikogo yule ya kihaya sijapata kuona.

by the way salama lakini mpwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom