Wagogo na siasa za ccm

Kimweli

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
899
231
Mimi huwa najiuliza sana, kwanini wagogo hawataki kuachana na CCM? Wao ndo wanaongoza kwa kusema nisaidie, sijara na wengine wakijifanya vipofu ili waombe vizuri wakisindikizwa na watoto wao.
Anayelijua vizuri hili kabira hasa historia yake naomba anijuze. Maana inaweza kuwa nilaana!
 
haitoshi mbunge wao LUSI bonge la t.a.h.i.l.a. ku.......ye zake,kasabisha c.c.m magamba kushindwa arumeru.
 
lusinde ana laana kutoka kwa baba mkubwa wake tingatinga malecela na yeye ni kibajaji mvuta bangi mzuri
 
naomba msaada kwenye jf ili tumuabishe lusinde na tumuweke kwenye you tube naaza na mchango wa dollar 500
 
Naamini ni ukosefu wa fikra kuwaweka watu fulani katika kapu moja kwa sababu tu ya makosa au tabia ya baadhi yao. Mawazo kama "wazungu wana akili sana" wakati kuna wazungu werevu na wapumbavu pia, au "watanzania ni wavivu wa kufikiri" wakati wapo weledi na wenye mbongo zinazochemka kuliko, au "wakenya wanafanya sana kazi" wakati kuna wavivu kibao.

Kwa kifupi tu, kauli ya kuwashambulia wagogo kwa ujumla wao ni ukosefu wa adabu, na kuhusu kuomba, tembea mtaani uone vijana wa mjini wasio na ulemavu wowote kutoka makabila mengine wakiomba pesa, utaona tu mtu anakusalimia kumbe anaomba 500 ya kula. Tuache hii "stereotyping", ni njia ya mkato ya kushindwa kuielewa jamii fulani kwa kina na kuwabandika "label" kwa majumuisho ya jumla. Hii itawakatisha tamaa hata wagogo wenye mwamko na mabadiliko na kuhisi kudharauliwa.

Kama Lusinde ameonyesha ukosefu wa akili, adabu, hekima wala busara basi mzigo huo ubaki kwake na chama chake kilichoshindwa kumrudi.
 
Kuna haja ya Viongozi wa Chadema Taifa kufanya marekebisho ya Uongozi mkoani hapa. Namashaka uongozi si imara!
 
=afroPianist;3613290]Naamini ni ukosefu wa fikra kuwaweka watu fulani katika kapu moja kwa sababu tu ya makosa au tabia ya baadhi yao. Mawazo kama "wazungu wana akili sana" wakati kuna wazungu werevu na wapumbavu pia, au "watanzania ni wavivu wa kufikiri" wakati wapo weledi na wenye mbongo zinazochemka kuliko, au "wakenya wanafanya sana kazi" wakati kuna wavivu kibao.

Kwa kifupi tu, kauli ya kuwashambulia wagogo kwa ujumla wao ni ukosefu wa adabu, na kuhusu kuomba, tembea mtaani uone vijana wa mji

Kweli kabisa si haki kuwaweka Wagogo wote kwenye kapu moja kwa sababu tu Lusinde ni mgogo asiye na busara. Tuachane na siasa za namna hii. Kila mtanzania bila kujali rangi,kabila,dini,jinsia ama tofauti yoyote ile ana haki na ana mchango muhimu kwenye kufanikisha mpango wa kujiondoa kwenye minyororo ya CCM.

Tukishikama kwa pamoja tutawashinda maadui wetu ila tukianza kubaguana na kudharauliana hatufika popote.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki CHADEMA!
 
kipimo chao ni chaguzi za kisiasa...ukiwa ccm candidate hata usipofanya kampeni...utashinda tu
 
siasa imekaa kimajungu majungu...no wonder naichukia!...
 
Naamini ni ukosefu wa fikra kuwaweka watu fulani katika kapu moja kwa sababu tu ya makosa au tabia ya baadhi yao. Mawazo kama "wazungu wana akili sana" wakati kuna wazungu werevu na wapumbavu pia, au "watanzania ni wavivu wa kufikiri" wakati wapo weledi na wenye mbongo zinazochemka kuliko, au "wakenya wanafanya sana kazi" wakati kuna wavivu kibao.

Kwa kifupi tu, kauli ya kuwashambulia wagogo kwa ujumla wao ni ukosefu wa adabu, na kuhusu kuomba, tembea mtaani uone vijana wa mjini wasio na ulemavu wowote kutoka makabila mengine wakiomba pesa, utaona tu mtu anakusalimia kumbe anaomba 500 ya kula. Tuache hii "stereotyping", ni njia ya mkato ya kushindwa kuielewa jamii fulani kwa kina na kuwabandika "label" kwa majumuisho ya jumla. Hii itawakatisha tamaa hata wagogo wenye mwamko na mabadiliko na kuhisi kudharauliwa.

Kama Lusinde ameonyesha ukosefu wa akili, adabu, hekima wala busara basi mzigo huo ubaki kwake na chama chake kilichoshindwa kumrudi.

Umesoma na kuelewa lakini hii post. Kama unaona imekukera pole sana na huo ndo ukweli. Na kama unaijua vizuri historia yao weka hapa. Nina marafiki zangu Wagogo najua wanavyoishi na hawataki hata kutaja makabila yao.
 
Imani yangu ni kuwa wagogo watabadilika tu cha msingi ni chadema kukaza buti. Pamoja sana.
 
Sasa sikiliza,mimi ni mgogo,nimezaliwa kongwa kijijini na kukulia huko,kama isingekuwa elimu ya juu sidhani kama ningekujua mjini.Kwa kifupi wewe ndiye hukuelewa comment ya afroPianist na si kwamba yeye hajakuelewa.Hivi,akija mnyamwezi mjini na akakamatwa kwa kufanya ujambazi ni kigezo tosha cha wewe kuwaita wanyamwezi wote ni majambazi?au kama mama yako ni m'mbea,na dada zako pia watakuwa wambea?
Bado sitaki kuamini kama uko 18+,na kama ni hivyo una kazi kubwa ya kutoka hapo ulipo.Kuna mawili,eitha ulihadithiwa ama ulifika kwa wagogo siku ya kampeni za ccm!na kama na wewe ni mgogo basi jiangalie upya.
 
Back
Top Bottom