Waganga bwana!

Agera 1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
4,080
4,184
Waganga mahitaji yao bana eti;

1. Niletee mkojo wa chatu

2. Niletee jisho la kipofu mzee

3. Niletee kidevu cha mzee aliekufa na miaka 90

Ongezea na maneno uliowahi ambiwa na mganga
 
macho ya kuku jike tasa
firigisi za jogoo shoga
mbuzi jike mjane
kifaranga yatima
kondoo mchawi
 
ha ha msiende tena kwa waganga, kanisan hamna cha fisi shoga wala nini
 
Niletee Tembele kisamvu na majani ya kunde na unga wa dona, cjawah kumsikia mganga wa hivyo, wao huagizaga minyama nyama mara jogoo lililokomaa,mara mbuzi dume, na ukishindwa waambiwa umlete mbesai atatafuta yeye
 
Niletee matiti ya nyoka anaenyonyesha na firigisi za mbuzi jike.kama huwezi lete pesa me najua pa kuvipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom