Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.

Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7. Mzee Halima Mdee
8. Ester Bulaya
9.
Ongezea na wewe msomaji.

Kwahiyo, wewe mwanamke unayefikiri ndoa ndiyo mkombozi wako endelea kushobokea.
 
Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.

Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7.
8.

Kajala anauza papa aolewe atagawa vipi
 
Bado walio olewa Ni wengi kuliko hao..
 
Wanawake wenye mafanikio wameolewa.

1. Mh. Dr. Samia ameokewa na Mr. Amier
2. Mh. Dr. Tulia ameokewa na boss wa ewura
3. Mbeijing mkuu, mama mongers, ameolewa na Mr. Viane
4. Mama yangu, ameokewa na baba.
5. Wanu amier, mb ameolewa na mchengerwa

Wasioolewa ni Malaya, wadangaji, walevi, wauwaji na masimbe.
 
Back
Top Bottom