Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,233
22,317
1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule.

2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni miongoni mwa hao wafanyakazi tafadhali kaongeze elimu. Hata ushauri wa kufanya kazi kwa bidii haukufai.

3. Kama mshahara wako hauzidi Tsh 200,000/= unapaswa kuongeza elimu.
 
1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule.

2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni miongoni mwa hao wafanyakazi tafadhali kaongeze elimi. Hata ushauri wa kufanya kazi kwa bidii haukufai.

mfanyakazi gani huyo anapokea mshahara wa 200000? Labda huyo atakuwa ni kijana mwalimu wa kujitole shule ya private. Maisha yamepanda sana miaka hii huo si mshahara bali ni posho ya chai tu
 
1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule.

2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni miongoni mwa hao wafanyakazi tafadhali kaongeze elimi. Hata ushauri wa kufanya kazi kwa bidii haukufai.

3. Kama mshahara wako hauzidi Tsh 200,000/= unapaswa kuongeza elimu.
Watu wana masters wanaendesha bodaboda halafu eti ongeza elimu. Elimu ya nyoko, hao waliosoma mmeshindwa kuwaajiri.
 
1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule.

2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni miongoni mwa hao wafanyakazi tafadhali kaongeze elimi. Hata ushauri wa kufanya kazi kwa bidii haukufai.

3. Kama mshahara wako hauzidi Tsh 200,000/= unapaswa kuongeza elimu.
Wenye elimu wanafanya biashara au kazi zao
Sasa wewe umeajiriwa, asubuhi kazini unatoka muda aliopanga boss na ukifanya makosa muda wowote unafukuzwa kama mbwa😀😀😀
Hapa unaanza kuwatambia wengine😀😀😀😀😀
Kama wewe ni kidume acha kwenda kazini siku 4 bila taarifa uone, halafu uje utambe humu😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom