Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Duru za kisiasa nchini zilikuwa zikiwaweka katika tofauti kubwa Baba wa Taifa hayati JK wa 1 na Rais wa sasa JK wa 2. Wadadisi wa mambo wanaamini kuwa JK wa 2 alimshinda kwa kura nyingi bwana BM mwaka 1995 kwenye mkutano mkuu wa CCM kupitisha jina la mgombea urais kwa chama hicho.
Lakini kutokana na nguvu kubwa ya ushawishi aliyokuwa na nayo JK wa 1 akabadili matokeo na kuyapindua chini juu hatimaye bwana BM akawa rais ambapo watu wengi wanaamini kuwa awamu yake ilikwenda vizuri kuliko msimu wa bwana JK 2.
Wadadisi wanaamini kuwa endapo JK wa 1 angekuwepo mpaka sasa, bado JK wa 2 asingepata urais kwa sababu JK wa1 hakutaka kabisa JK wa 2 ashike nafasi hiyo.
Natamani kama wafu wangekuwa wanafufuka basi JK wa 1 angefufuka wakati huu na kukuta mtu aliyekuwa akimkataa ndiye kawa rais sijui ingekuwaje.