Ndugu zangu wanaJF HBR ZA KAZI?
Naomba kuuliza japo naweza kuambiwa mshamba au vipi. Hivi wafu fm ni redio gani, maana sijawahi isikia Tanzania, na kwanini imeitwa wafu fm?
Au inahusika kutangaza matangazo ya vifo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.