Wafanyakazi wa machimbo ya north mara kugoma kuanzia Ijumaa

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
kuna tetesi kwamba wafanyakazi katika machimbo ya dhaabu ya nyamongo uende wakaanza mgomo wakidai nyongeza ya malipo kadhalika kuishinikiza serikali kuwalinda dhidi ya unyanyasaji na unyama dhidi yao unaofanywa na wazungu. tutawajuzi zaidi mara habari zaidi itakapopatikana

Source: mfanyakazi wa machimbo ya north mara
 
mbona watakoma mwaka huu? ccm inanyea debe kusema kweli na bado
 
Back
Top Bottom