Bonge la sherehe kupita sherehe nyingine zote katika taasisi hiyo kuwahi kutokea, imefanyika siku ya Jumatano kufutia kuondolewa kwa aliyekuwa mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Godwin Ndosi. Mara baada ya kutangaza rasmi kuwa anastafu siku ya ijumaa tarehe 16/3/12 shamra shamra zilianza mara moja.
Wafanayakazi kwa haraka walikutana eneo moja makumbusho ktk baa moja. Halafu ikafuatiwa na michango iliyochangwa kwa haraka kuliko michango yoyote ile iliyowahi kuchangwa hapo taasisi na kufanikisha sherehe hiyo yenye lengo la kufurahia kuondolewa kwa mkurugenzi huyo iliyofanyika jumatano tarehe 21/3/12.
Kitu cha kushangaza sherehe ilijumuisha wafanyakazi waliopo kazini , waliostaafu na walioacha kazi. Hali haijawahi kutokea. Mkurugenzi huyo aliondolewa na wizara kwasababu alikuwa hataki kustaafu aling'ang'ania madaraka. Pia alikuwa hapendwi sana na wafanyakazi wengi kwasababu ya udikteta kufinya haki za wafanyakazi, upendeleo, unyanyasaji, ubadhilifu nA ufisadi na mambo mengine mengi yasiyopendeza.