Wafanyabiashara uganda vs bank

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Kumekuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na mabenki huko uganda juu ya ongezeko kubwa la riba.wametishia kufunga biashara zao na pia kutoa pesa zao kwenye mabenki hayo.hii ni kutaka kuwaadabisha wenye mabenki waache tabia kujiongezea riba kila kukicha
 
mkuu

nimeisikia hiyo, very good move by Ugandans business community,

pia hili tatizo ni kubwa sana hapa kwetu Tz, na sijaona effort yeyote either kutoka serikalini au kwa wafanyabiashara

mimi sijui Tanzania Chamber of Commerce Industries and Agriculture (TCCIA) wanafanya nini, wafanyabiashara yatakiwa kushikamana kwa hili kama waganda
 
Hiyo ni nji iliyotumiwa na CentralBank ya Uganda katika ku taka kupunguza mfumuko wa bei .Pia kwa taarifa za jana na leo Central Bank ishatolea hali hiyo maelezo na kuwa ni hali ya muda mfupi mambo yatarudi kama kawaida.Hakuna Bank ya Biashara inaweza jiongezea riba kiholela bila ridhaa ya Central Bank.
 
Back
Top Bottom