niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,501
- 4,937
ni serikal iliyo Na nguv ya dunia kuliko marekani
Familia, jumuiya, kigango, parokia, jimbo, jimbo kuu. Hivi vyote vipo chini ya askofu mkuu katika kila nchi duniani .Askofu mkuu ana anaitikia kwa papa. Haya ni mawazo yangu.