Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

Mkuu Garilaya ni wapi..........?.......au ulimaanisha Kapernaum.......?.........
Kiukweli Preta nakupenda sana maana na kumfananisha na Preta wa kwenye Shades of sin.... Nilikuwa namkubali sana yule dada
 
Mkuu nitakubaliana na wewe au mtu mwingine kama Papa ana pewa heshima ya kiuongozi wa kiroho,niliamini sana siku za nyuma kuwa papa anaulinzi mkali na bora kuliko ule wa rais wa Marekani
Baada ya kufanya utafiti wa kina Obama alivyokua KENYA na Papa alipodhuru KENYA nikaridhika na yule mtoto alivyoweza kujipenyeza mpaka akaa kwenye kiti cha Papa
Nikaona ngumu sana kuja kutokea kwa rais wa Marekani
Utafiti wako ni kwa kuangalia mtoto?
 
Kwanini wawe raia wa Uswizi? Nataka maelezo zaidi kuhusu hilo
Tatizo lugha
Ni hivi tangu year 1527 the Swiss Guards have had history with Vatican. During the 1527 sack of Rome when Spanish troops burnt the city and tried to kill Pope Clement VII,the Swiss Guards saved Pope clement.

Pope clement escaped through the secret tunnel that leads into the Vatican's Castel Sant'Angelo fortress, but 146 Swiss Guards protecting him from the rear as he fled massacre.

Although up until the 1980s the role of the Papal Swiss Guards was primarily ceremonial yet, after Pope John Paul II’s assassination attempt, this was severely revised to include modern combat training; and a higher priority was given to the guards’ ability to actually defend the Pope, his Home and the Vatican in general.

About the Swiss Guards credentials…it's very true.
The Swiss Guard must be a Swiss national, Catholic, unmarried, between the ages of 19 and 30, have undergone rigorous Swiss military training and be at least 174 cm tall. Once accepted, the terms of service can be as short as 2 years, and as long as 25. Now that’s devotion!

Remember when the Turkish gunman Mehmet Ali Agca shot the pope in front of the crowd in St Peter's Square in 1981, a Swiss Guard in plain clothes jumped on the wounded pontiff to shield him from further attacks.
 
666. 6 ya kwanza ni dunia kutawaliwa "KIDINI" (Vatican inahusika); 6 ya pili ni dunia kutawaliwa kiuchumi, na 6 ya tatu ni dunia kutawaliwa kisiasa. "NEW WORLD ORDER" hio!

White pope anaongozwa na black pope!!!!! Secretely
 
Wayeyushe gold treasures zao na kusaidia watu na charity kuliko kushikilia kasri na uthamani.

Chukua mfano wa Dalai Lama. Hana hata mali, ana kiatu pair moja, soxi, robes mbili za kuvaa, bakuli la maji na chakula na hamiliki account wala pesa wala nyumba wala gari. Na ni kiongozi wa imani na kiongozi wa nchi.

Viongozi wengi wa dini bado wanashikiliwa hawana mifano ya kuigwa kwa maisha wanayoishi na wanajitenga na jamii kama vile wao ni tofauti na wengine.

No offense! I am just saying my views.
 
Who is Black Pope ..? Na yupi ni White..?
Kwanini atawaliwe..? Aliyekuambia Pope ni mtawala ni nani..?
 
Wayeyushe gold treasures zao na kusaidia watu na charity kuliko kushikilia kasri na uthamani.

Chukua mfano wa Dalai Lama. Hana hata mali, ana kiatu pair moja, soxi, robes mbili za kuvaa, bakuli la maji na chakula na hamiliki account wala pesa wala nyumba wala gari. Na ni kiongozi wa imani na kiongozi wa nchi.

Viongozi wengi wa dini bado wanashikiliwa hawana mifano ya kuigwa kwa maisha wanayoishi na wanajitenga na jamii kama vile
Wayeyushe gold treasures zao na kusaidia watu na charity kuliko kushikilia kasri na uthamani.

Chukua mfano wa Dalai Lama. Hana hata mali, ana kiatu pair moja, soxi, robes mbili za kuvaa, bakuli la maji na chakula na hamiliki account wala pesa wala nyumba wala gari. Na ni kiongozi wa imani na kiongozi wa nchi.

Viongozi wengi wa dini bado wanashikiliwa hawana mifano ya kuigwa kwa maisha wanayoishi na wanajitenga na jamii kama vile wao ni tofauti na wengine.

No offense! I am just saying my views.

wao ni tofauti na wengine.

No offense! I am just saying my views.
Kwataarifa yako hakuna taasisi Duniani inayoishinda kanisa Katoliki kwa misaada ......
Unaishi Tanzania ila umeamua kujitoa ufahamu...Hata hapa Tz jiulize ni Taasisi gani inayoongoza kwa kujenga shule, misaada, hospitalu, vyuo ...

Usijitoe ufahamu
 
Okay.

Sina uhakika kama ndio wanaongoza duniani katika mashirika makuu ya msaada kuzidi UN na UNESCO. Sina uhakika. Nitatafuta.

My points sio kutoa misaada tu and how much wanatoa, ni why kuishi katika hiyo luxurious life na kuwa kiongozi wa imani?

Pia si hesabu how much unajitolea, mfano kama you are worth 10,000 na ukawa unatoa 5,000 na kuna wengine they are worth 3000 na wanatoa 2500 then kipimo sio how much you give, ni kuangalia na what you have. Nadhani unafahu worth-net ya Vatican Bank na jinsi inavyokusanya pesa.

http://www.businessinsider.com/gods-bankers-financial-scandals-at-the-vatican-2015-2
 
Okay.

Sina uhakika kama ndio wanaongoza duniani katika mashirika makuu ya msaada kuzidi UN na UNESCO. Sina uhakika. Nitatafuta.

My points sio kutoa misaada tu and how much wanatoa, ni why kuishi katika hiyo luxurious life na kuwa kiongozi wa imani?

Pia si hesabu how much unajitolea, mfano kama you are worth 10,000 na ukawa unatoa 5,000 na kuna wengine they are worth 3000 na wanatoa 2500 then kipimo sio how much you give, ni kuangalia na what you have. Nadhani unafahu worth-net ya Vatican Bank na jinsi inavyokusanya pesa.
Yani we kiumbe wa ajabu sana....

Kumbe huna uhakika....? Sasa mimi ndo nimekupa taarifa hiyo .....

Na kama ulikuwa hujui ni Sadaka hizi hizi za waumini ndo zinarudishwa kwa watu wasiokuwa hata waumini...

Unaongelea luxurious life...Ya kina nani...? Hujui kuwa Mapadre na Masister huweka nadhiri za ufukara..? Hapa Tz waumini tunawajengea mapadre nyumba na kuwa nunulia gari la kutolea huduma...

Ujawahi msikia Padre Mtembea Peku peku wa kule Dodoma..? Hujaona shule aliyojenga..?

Chuki mbaya sana...
 
No, sina chuki mbaya hata kidogo.

Nikiwa kama msomi na ninayefahamu historia ya Vatican vyema siwezi kukurupuka kutoa mitazamo.

Ndio maana nikasema sina uhakika kama ndio taasisi inayoongoza kwa misaada. Na katika kusoma nimeona Direct Relief Organization ndio inaongoza duniani katika kutoa misaada, UN imeshika nafasi ya nne na Catholic organization (haijasema ni mali ya Vatican) imeshika nafasi ya 3. (Source yake ni ya 2015)

Katika link nyingine UNICEF imeshika nafasi ya kwanza (Source yake ni May 2016).

Pia sio kweli kuwa Vatican inategemea sadaka kwa kiasi kikubwa, soma vizuri.

Pili ninaposema luxurious life na hazina kubwa kwa ambaye anaelewa Vatican vyema, their Poland golds, Nazi Golds, Money laundering, Museum incomes, Mafia dirty money na kiasi ambacho ni hidden ndio wataelewa my point. Kwa mtu anayeitazama Catholic kama Holly-thing ni vigumu kuelewa my points.

I am not against it and I am not supporting it. I am just sharing facts.

Pia nampongeza huyo Padre uliyeniambia. May he receives his blessings. Ni mfano mzuri.
 
Kuwa makini sana....Kulijua Kanisa Katoliki ni kuijua historia ya Dunia...Utaijuaje historia ya Dunia angali Babu wa babu yako aliyemzaa nyanya yako huko dongobeshi humjui..?

Halafu hoja yako inakosa mashiko pale amnbapo unalaumu Kanisa zima ila baadae unabadilika..Wewe kusema Kanisa halitoi misaada halafu unakuja kubadilika kusema inashika nafasi. Ya tatu....Mara nilikuwa sifahamu ni ubabaishaji..

Unajiita msomi halafu unababaika...? Kabla huja-post hakikisha unachokiandika kipo sahihi..

Msomi !!!!
 
Okay. Elewa unavyotaka kuelewa.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom