wadau ninashida naombeni mnisaidie

shadrackAmri

Member
Oct 27, 2023
49
3,193
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana

yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha mbeleyangu

hatamke wangu nimempata kwastail hiohio sikumtongoza Wala nini

nakumbuka nilienda supermarket moja hivi hapa masaki nilivyoshuka tuu kwenye gari naona toto moja langi yamtume linanikimbilia

asee nilistuka mtoto mzuri ananifata mimi au kunamwingine?nageuka nyumayangu hakuna mwingine mtoto akanisalimia pale nakuniomba msamaha kwingi kwakunisumbua nikamwambia usijali Wala hunisumbui

akaanza kujiumauma pale nikagundua anachotaka nikamuuliza umeolewa akajibu hapana nikamwambia namimi sijaoa

alifurahi sana nikachukua nambayake jioni nikamtania tania pale hukunakule nikampigia video call nikajirizisha nimoto mwenye adabu namrembo wandani kabisa bila mekap wala nini😁😁nahisi mabaharia mumenielewa hapa

basi ndio nikapata mke kwastail hio

lakini hii hali inanikera kwasasa ukishuka kwenyegari inabidi nisiangalie pembeni😁nikiangaliatu unashangaa demu anakuita ukimfata chamaana hana zaidi yakusifia tuu uhandsome wangu

hiihali hata mkewangu inamtesa mana hata nikiwa nae wanasumbua tuu.tukishuka kwenyegari utasikia wanawake wenzake wanamtania "mkemwenza mambo"

kiukweli anacheka nakuwajibu kinafiki ila tukirudi nyumbani naulizwa maswali kibao na nikimjibu kuwa siwajui ndio anakasirika zaidi

wadau nifanyeje? hiihali inanichosha
 
POA mkuuNiJibu basi nIFAnYeje""?
images (7).jpeg
 
kama ni kweli mkumbushe jinsi mlivyokutana, mazingira yoote na umwambie kama ulivyosimulia hapa.
 
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana

yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha mbeleyangu

hatamke wangu nimempata kwastail hiohio sikumtongoza Wala nini

nakumbuka nilienda supermarket moja hivi hapa masaki nilivyoshuka tuu kwenye gari naona toto moja langi yamtume linanikimbilia

asee nilistuka mtoto mzuri ananifata mimi au kunamwingine?nageuka nyumayangu hakuna mwingine mtoto akanisalimia pale nakuniomba msamaha kwingi kwakunisumbua nikamwambia usijali Wala hunisumbui

akaanza kujiumauma pale nikagundua anachotaka nikamuuliza umeolewa akajibu hapana nikamwambia namimi sijaoa

alifurahi sana nikachukua nambayake jioni nikamtania tania pale hukunakule nikampigia video call nikajirizisha nimoto mwenye adabu namrembo wandani kabisa bila mekap wala nininahisi mabaharia mumenielewa hapa

basi ndio nikapata mke kwastail hio

lakini hii hali inanikera kwasasa ukishuka kwenyegari inabidi nisiangalie pembeninikiangaliatu unashangaa demu anakuita ukimfata chamaana hana zaidi yakusifia tuu uhandsome wangu

hiihali hata mkewangu inamtesa mana hata nikiwa nae wanasumbua tuu.tukishuka kwenyegari utasikia wanawake wenzake wanamtania "mkemwenza mambo"

kiukweli anacheka nakuwajibu kinafiki ila tukirudi nyumbani naulizwa maswali kibao na nikimjibu kuwa siwajui ndio anakasirika zaidi

wadau nifanyeje? hiihali inanichosha
Una hela mkuu ndo maana
 
Nyota kalii hb
 
Back
Top Bottom