Wadau nifanyeje kupata wateja kwenye HR Consulting firm yangu?

Wamoro jiunge JF SACCOSS, utupige shule kwenye mambo fulani, kufa kufaana na sisi tutazunguka kwa ajili yako. Penye watu wengi haliharibiki neno. Ukiataka kujinga unaweza tuma sms kwenye simu yangu 0655 447788 kwa kunipa jina lako halisi, namba yako ya simu, sehemu unayoishi eg. dar, dodoma, singida etc na email address.

Tuko pamoja tukisikia tetesi za wanaotaka huduma zako tunakupigia simu fasta unaenda kuongea nao.
 
1. Working the referrals (existing customers who refers u to the new customers)
2. Personal selling - face to face communication.
3. Professional publications (they should be in writtings) e.g. Books for managers, trade journals, vocational papers and news letters.
4. Have favourable relationship with the public information media
5. Management seminars - workshops & conferences.
6. Advertising - on media, through direct mail , use of exhibition , internet marketing
7. Socializing with the potential clients - culture private, social & sport event.
8. Voluntary social work - participate physically or making monetary contributions
9. Directories. A document containing information abwt the consulting firm, used to short list of consultancy, prepared by the other consultants and sold to those who are in need...
10. Respond well - when the client contact for more information.
11. Locations of office facilities.
12. Name and Logo.
 
Wamoro jiunge JF SACCOSS, utupige shule kwenye mambo fulani, kufa kufaana na sisi tutazunguka kwa ajili yako. Penye watu wengi haliharibiki neno. Ukiataka kujinga unaweza tuma sms kwenye simu yangu 0655 447788 kwa kunipa jina lako halisi, namba yako ya simu, sehemu unayoishi eg. dar, dodoma, singida etc na email address. Tuko pamoja tukisikia tetesi za wanaotaka huduma zako tunakupigia simu fasta unaenda kuongea nao.
Nimekupata Mdau na nashukuru,nitatuma details zangu soon.
 
Mkuu, pole ila kaza buti, success is around the corner! Consultancy services kwa Tanzania hapa ni GIZA kidogo, watu wanapenda kushauriana wenyewe kwa wenyewe, WATAALAM (Consultants) bado hawana nafasi sana japo wana mchango mkubwa sana. Clients wakubwa wa service zako WANAAMINI ZAIDI consultancy bureau za Vyuo vikuu. Watu kama wewe wenye firms hupata kazi ndogo ndogo tu na sometimes kuto aminiwa. Nimependezwa na shughuli zako, coz hata mimi najishughulisha na BAADHI ya hizo ila mimi ni Independent Consultant on Resource mobilisation and management, project planning and write-ups. Target clients wangu ni NGOs, CBOs, Schools, Churches, individuals and District councils. Niliandaa memorandum and Article of Association ili nifungue Kampuni, mtaalamu wangu mmoja akanishauri nianze kama independent consultant, kwani kazi za Consultancy hufanyika kwa mikataba. Lakini kuwa na kampuni ni vema zaidi ili kupata tenda nyingi. Hata mimi nina ofisi japokuwa ni independent consultant. Hata hivyo nimeamua kujibanza kwenye kampuni ya rafiki zangu japo wao wanafanya kazi nyinginezo; consultancy and non-consultancy ila sio za mlengo wangu, tulicho fanya ni kuongeza tu na kuwa independent department ndani ya Firm yao.
 
Mkuu, Kama upo ngangari kwa mtindo huo, vyuo vya biashara vinaitaji watu kama nyinyi kwenye kufundisha chipukizi wa taifa letu. unaweza kuweka maelewano na vyuo, ukawa unafundisha kwa pale topic yako inapoitajika. kwa mtindo huo unaweza kujikuta unafunga safari za huku na kule kuelimisha taifa la kesho, na at the same time thats how you create your own network :) niendeleee..?
 
Wadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu (consultancy) ikijikita hasa katika huduma za rasilimali watu (human resources),ikijikita katika huduma kuu nne nazo ni consultancy(katika mambo ya hr,finance na banking),training (capacity bulding),recruitment, research (data collection &surveys) na eneo la mwisho ni business development services (bussiness plan write up,proposal write-up,microfinance consultating).kampuni imesajiliwa kihalai na kua na vibali vyote muhimi,nanao wataala wa kutosha na wenye uzoefu mkubwa sana,na pia natumia freelance consultants kutoka sehemu mbalimbali nchini,na wote nimeingia nao mkataba wa kazi.shida yangu:wadau tangu nifungue office hii ni mwaka mmoja na nusu sasa na nimeweza kupata kazi tatu tu (3) tena kutoka kwa mteja mmoja tuu ambaye amalizika sana na kiwango na ubora wa kazi yetu na akatupa kazi zingine mbili tena.zaidi ya huyu mteja mmoja nimeshindwa kabisa kupata wateja wengine na hili hasa limetokana na ukweli kwamba ni kazi kupata mteja sehemu kama hujuani na mtu pale.nimejaribu sana kufanya matangazo na kutuma company profile kwa potential clients wengi sana bila mafanikio.sasa hata hela za kuendesha office zimekwisha na miiezi kadhaa nitatakiwa kulipia pango la office.niko kwenye hali ngumu sana.naomba wadau mnipe mawazo yenu je nita kutumia huduma za kampuni yangu? Je nawezaje kupata partners ambao wana connections na clients mbalimbali nishirikiane nao kwa makubaliano ya kugawana faida ya kila kazi watakayo nisaidia kuipata.naomba kuwasilisha.

Mzee inapasa uwe makini unapoandika onyesha uweledi wako. That is first. Quality itakupa jina then kazi.
 
Mpaka hapo sijaelewa kampuni yako inahusika na nini. Mfano ukija kwenye kampuni yangu utanisaidia na nini na kutokana na msaada wako kampuni yangu itaongeza biashara au faida kiasi gani. inabidi utueleze kwa kutumia layman's language sio HR, techno this techno that, consultancy,e.t.c kwanza sisi potential clients tuelewe unauza nini au unataka kufanya nini kwenye biashara yangu ili nikupe pesa. Once wateja wameelewa kazi yako wataona umuhimu wakutumia ujuzi wako.

Otherwise, mimi nakupa big up kwa kuanzisha hiyo kampuni yako naku-advise ujipe moyo kwa kuwa 95% ya biashara zote mpya ufa within mwaka mmoja.
 
Wakuu,
Nina shida hapo katika training (capacity bulding). Naomba msaada wa mawasiliano ya kampuni inayotoa huduma hii ya training
Itapendeza zaidi kama kampuni ipo lake zone au Dar es salaam. Ukinitumia details pm itakuwa vyema zaidi
 
Wadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu (consultancy) ikijikita hasa katika huduma za rasilimali watu (human resources),ikijikita katika huduma kuu nne nazo ni consultancy(katika mambo ya hr,finance na banking),training (capacity bulding),recruitment, research (data collection &surveys) na eneo la mwisho ni business development services (bussiness plan write up,proposal write-up,microfinance consultating).kampuni imesajiliwa kihalai na kua na vibali vyote muhimi,nanao wataala wa kutosha na wenye uzoefu mkubwa sana,na pia natumia freelance consultants kutoka sehemu mbalimbali nchini,na wote nimeingia nao mkataba wa kazi.shida yangu:wadau tangu nifungue office hii ni mwaka mmoja na nusu sasa na nimeweza kupata kazi tatu tu (3) tena kutoka kwa mteja mmoja tuu ambaye amalizika sana na kiwango na ubora wa kazi yetu na akatupa kazi zingine mbili tena.zaidi ya huyu mteja mmoja nimeshindwa kabisa kupata wateja wengine na hili hasa limetokana na ukweli kwamba ni kazi kupata mteja sehemu kama hujuani na mtu pale.nimejaribu sana kufanya matangazo na kutuma company profile kwa potential clients wengi sana bila mafanikio.sasa hata hela za kuendesha office zimekwisha na miiezi kadhaa nitatakiwa kulipia pango la office.niko kwenye hali ngumu sana.naomba wadau mnipe mawazo yenu je nita kutumia huduma za kampuni yangu? Je nawezaje kupata partners ambao wana connections na clients mbalimbali nishirikiane nao kwa makubaliano ya kugawana faida ya kila kazi watakayo nisaidia kuipata.naomba kuwasilisha.
Tuwasiliane nikupe tips
 
Back
Top Bottom