Wadau najiuliza sana Nani mwenye jukumu la kulinda Amani ya nchi

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
nimeskia tetesi za hapa na pale ooo ijumaa ijumaaa hivi ni nani ana jukumu la kulinda amani na je Katiba inasemaje kuhusu iliii. je ni polisi, jeshi au wananchi
 
Kila mwananchi wa nchi hii ana jukumu la moja kwa moja kulinda usalama wa Tanzania, akianza na kujichunga mwenyewe dhidi ya vitendo vitakavyo vuruga amani ya wote.......!

Kibanga Msese
 
Mlinzi wa Amani ni Mwenye nchi ambae ni Mimi na wewe...Polisi wanalinda vibaka, jeshi nchi maadui na wavamizi wa mipaka kama Malawi UPo APo?
 
Back
Top Bottom