..... Wadau hii kauli ya Nchimbi mwaichukuliaje..??

....kawasihi "waislam watulie"....

Kama thnker mdogo... Kauli hii nimeidadavua hivi

1. Ni uislam ndo waleta fujo znz.
2. Ni waislam wa znz ndo wanafanya fujo.
3. Hata bara waislam wapo.. So?

....niachane na hayo ila mi naona jamaa kakosea.

Mchango wenu utanirekebisha..

yuko sahihi kabisa mhe waziri nchimbi. Ni waislam ndiyo wamesababisha fujo zanzibar. Na sio waislam wa zanzibar tu bali hata wa tanzania bara wanahusika. Akina shehe selemani ponda na wenzake wamekuwa wakienda zanzibar mara kwa mara kutoa hoja za kichochezi kuhusu muungano kupitia mlango wa dini. Sasa nashindwa kuelewa muungano wa kisiasa unaihusu nini dini ya kiislamu.

 
Nchimbi yupo right kabisa kwa hilo. Waislam wana chuki na Ukristo na wala si Muungano. Ndio maana Mh. Mkapa alikuwa anawapa mkon'goto wazenji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom