..... Wadau hii kauli ya Nchimbi mwaichukuliaje..??

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
851
96
....kawasihi "WAISLAM watulie"....

Kama thnker mdogo... Kauli hii nimeidadavua hivi

1. Ni Uislam ndo waleta fujo ZNZ.
2. Ni Waislam wa ZNZ ndo wanafanya fujo.
3. Hata bara Waislam wapo.. So?

....niachane na hayo ila mi naona jamaa kakosea.

Mchango wenu utanirekebisha..
 
....kawasihi "WAISLAM watulie"....

Kama thnker mdogo... Kauli hii nimeidadavua hivi

1. Ni Uislam ndo waleta fujo ZNZ.
2. Ni Waislam wa ZNZ ndo wanafanya fujo.
3. Hata bara Waislam wapo.. So?

....niachane na hayo ila mi naona jamaa kakosea.

Mchango wenu utanirekebisha..

sasa wewe unashangaa nin? Hapo??

Wewe unadai kakosea ulitaka aseme wanani watulie kama siyo hao waislamu waletao fujo??

Waislam ndio waletao fujo wamechoma makanisa,na gari ya mchungaji na kwanin haukuchomwa msikiti au gari au mali yoyote ya ustaz au shehe au himamu.

Hebu kajipange upya. Au na wewe ndio wale wale?
 
We ulitaka asemeje?na kama umeona amekosea rekebisha usemi wake basi tuelewe.
 
very stupid! waislamu walio wengi bado wanahitaji kukombolewa kifikra!
wasiongozwe na emotions zao! kama waziri kakosea ni pale alipotumia
maneno mazuri ya kuwataka watulie!
labda angetoa amri wachapwe ungemwelewa!

Ndugu zetu waislamu tujenge ustaarabu kwa maendeleo!
 
....kawasihi "WAISLAM watulie"....

Kama thnker mdogo... Kauli hii nimeidadavua hivi

1. Ni Uislam ndo waleta fujo ZNZ.
2. Ni Waislam wa ZNZ ndo wanafanya fujo.
3. Hata bara Waislam wapo.. So?

....niachane na hayo ila mi naona jamaa kakosea.

Mchango wenu utanirekebisha..
Nini hujaelewa hapo!
 
Comrade kwani walioleta fujo zanzibar ni wapagani? usichokielewa hapo ni nini? au ulitaka aseme baadhi ya Waislam ndio waliofanya fujo zanzibar ?
Nini msimamo wako kuhusu yaliyotokea huko zanzibar?
 
Hapo hakuna cha Muislamu wala Mkristo hao ni Janjawid na walisema wenyewe jukwaani. watu wenye akili timamu kweli muilamu wanaweza kutolea mfano wa nchi yetu na Sudani ilivyojitenga. Hao jamaa wana bahati sana kuzaliwa Tanzania walitakiwa wazaliwe Syria ndo wangejua kama kuingia mtaani dhidi ya mtawala ni kosa. Tuwahamishie kwa ustaadhi Asad
 
inabidi tumpe kazi Hafez al Asad aje awape mkong'oto washenzi hawa mambumbumbu wasiopenda amani!
Angalia waislam walivyo hamnazo, wanashabikia msimamo wa china na russia juu ya syria matokeo yake msimamo huo umegeuka kuwa jambia la kuwachinjia waislam huko syria, yaani kichaa(Asad) kapewa rungu!
Sasa wapime msimamo wa marekani na ule wa china na russia upi ni bora!? kweli wajinga ndo waliwao.
 
kweli amekosea angesema waznz watulie, na waache ujinga wa kuchoma makanisa, na waache ujinga na kuchanganya dini na siasa. muungano hauna uhusiano na ukristo wala dini yoyote.
 
kweli amekosea angesema waznz watulie, na waache ujinga wa kuchoma makanisa, na waache ujinga na kuchanganya dini na siasa. muungano hauna uhusiano na ukristo wala dini yoyote.


....there u are mathematics......

Nimegundua wa TZ twaishi kinafiki sana.. Na itatugharimu......

... I need a gun permit.!
 
Mtoa mada nashindwa kukuelewa kama umeshindwa kujijibu maswari yako hayo kutokanana maneno ya waziri Nchimbi. Huo ndo ukweli, kwani wanaofanya fujo kulet ni wakristo? Si walishajitambulisha wenyewe majukwaani? Je ulitaka waziri asemaje kama tayari walishajitambulisha? Embu jipange upya then come up with a concrete thread bhana.!
 
....there u are mathematics......

Nimegundua wa TZ twaishi kinafiki sana.. Na itatugharimu......

... I need a gun permit.!

a gun permit to shot who :laser: ?

Angalia usipige watu ovyo oovyo barabarani..!!

Unafiki sio upi, embu dadavua...
 
Hapa Nchimbi atakuwa kakosea sababu si waislam ndio walioleta shida Zenj bali ni wahuni na wenye dhiki ya uchu na ulafi tu
 
CCM walitumia Green Guard wakaona hailipi!! Wakatumia Bakwata wakaona haifai! Sasa kisirisiri wamejificha katika mwavuli wa uamsho kuchochea mitafaruku ya kidini ili wapate support ya waislam! Na ndio maana sambamba na uchomaji wa makanisa, sasa suala la mahakama ya kadhi liko jikoni! Mungu ibariki Tanzania!!

 
Cha kuuliza ni kama UISLAMU ndio umeleta fujo na kuchoma makanisa. Hakuna shaka kwamba waliofanya hivyo ni Waislamu. Je mafundisho ya dini ya Kisslamu yanaweza kusababisha haya? Hilo ndilo la kuchambua.

Nijuacho mimi ni kwamba miaka nenda rudi Waislamu na Wakristu tumekuwa tunaishi pamoja nchini Tanzania kwa upendo na ushirikiano. Hata leo mitaani Dar kukiwa na sherehe au msiba utakuta majirani Wakristu na Wailslamu wakishirikiana kwa upendo wa kweli.

But there are group manipulators around. There are demagogues who can create devils out of perfectly good people. It is the job of TISS to flush out their plans before they implement them. TISS should not act like fire fighters. They should to stop the demagogues before they commit their demagoguery.
 
Ukweli vita hiyo siyo ya muungano ni ya dini kwa sababu kama ingekuwa ya muungano wangechoma ofisi za serikali kwani kanisa lina kosa gani hapo? Mungu yupo.
 
Hapiti mtu hapa hiyo mahakama yao wanang'ang'nia nini iingie kwenye katiba kama sio kuna kitu kwenye pazia ambacho kitajitokeza baadaye. Udhalimu huwa haufanikiwi hata siku moja. Mungu yupo na anaijua nia ya mioyo yao.....
 
Back
Top Bottom