nasikia wapo ila mimi sijawai kuwaona..
kwa nini wanaume mpo too demanding jamani? Hamuwezi kuwa simple ?sister smile pole sana, but funguka tu ingawa kiukweli hakuna mwanaume asiye cheat, mi sijawai kuona but anakikupenda kweli atakueshimu na huwezi kujua hata siku moja kama anacheat hadi mnafanya anniversary ya 40 years , so funguka tu dada but mwanaume wa peke yako hayupo dunian, so funguka jiachie marriage will come automaticaly
kwa iyo nifanyeje?
Subiria aje yule uliyeandaliwa na Mungu lakini wazo la wa kwano peke yako futa akilini mwako kabisa...............
HUTAMPATA KAMWE................Hapa ni kujipa moyo na kujifariji tu kuwa huyu ni wangu peke yangu of which is not true at all right????
Hapa cha msingi ni heshima na uaminifu ndo utawale akacheat zake hukoooo ila arudi salama salimini lakini eti kujidanganya uko peke yako hiyo imekula kwako and you are wasting your time my dear.........................
Wengi siku hizi wanaangalia kipato ukiwa nacho wewewe acha mchezo watapishana hao...................
ngoja nikwambie smile.. hawa wakaka unaenda nao taratibu, tena from the first day unatoka naye mweleze mipango yako ya baadae na mwambie kabisa kuwa ngono kwako ni kitu cha mwisho kufanya u are keeping it for your future hubby so kama atakuwa ni yeye its ok. hapo ajipime mwenyewe kama ataingia au vipi.
pia angalia watu wa kudate nao , toka na watu ambao tayari wanaanza kuwa na mawazo ya kimaisha siyo kajivulana kametoka chuo tu ambako hata future hajui anawaza tu kwenda club a kwenye shows basi. angalia mtu amabaye amepevuka na nirahisi kumuona siku ya kwanza tu.
thax mitoGood piece of advice, hope Smile takes this seriously! Kusema kweli wadada wengi wanabugi step hapo kwenye red! Asante gfsonwin, umenisaidia kusema nilichotaka kumshauri Smile. Take this as point number one, ila bado point zingine mbilin, ngoja nione kama wadau wengine wamezisema kwani naendelea kusoma comments
We mrembo achana na mawazo ya kuolewa..........
siku hizi hakuna mwanaume wa kwako peke yako kubali ukatae
habari ndo hiyo....................
Sister smile pole sana, but funguka tu ingawa kiukweli hakuna mwanaume asiye cheat, mi sijawai kuona but anakikupenda kweli atakueshimu na huwezi kujua hata siku moja kama anacheat hadi mnafanya anniversary ya 40 years , so funguka tu dada but mwanaume wa peke yako hayupo dunian, so funguka jiachie marriage will come automaticaly
mpigie magoti mwenyezi Mungu ili akuonyeshe mwenzi mwema lasivyo utakomea kugongwa tu. Na usiwe mwepesi wa kuvua chupi kwa mwanaume kwani mwanaume laghai daima hukimbilia kumvua chupi msichana, take kare dada angu dunia hii ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hivi unatafutaje mwanaume anayekupenda, wanakuwa na character zipi hawa wenye upendo wa dhati
kwa nini wanaume mpo too demanding jamani? Hamuwezi kuwa simple ?
Hapo kwenye red sikubaliani na wewe mkuu, Wapo tena wengi tuu!