Wadada wengi hawajisafishi

Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”

Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”

Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.

Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Hivyo vimchele mwambie avikusanye vifike tani 10 navitaka sana 😂
 
Na wewe jisafishe hiyo lidudu lako usimpe shida mkeo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna nyimbo Johmakini aliimba

Ah na make rain na hizi barz get ready u ambrellaa🎶
mwanaume halisi mwenye nature without fellaa🎶
ama big brother kama jay rocafela hela e e e e e🎶
wanaongea wengi lakini boss ni helaa🎶 ukiniletea polisi sio movie ni trelaa🎶.

Nimeona jina lako nikakumbuka hiyo ngoma.
 
Jamaa yako anaongelea utoko.huo humtoka mwanamke yeyote na sio ugonjwa.na hii huwatokea ambao hawafanyi mapenzi Kwa mda mrefu.
Viko kama vichembechembe vya mtindi havina harufu mbaya.ni asili ya uke.
Kuna wakati wanawake hukumbana navyo kama mabadiliko mwilini ndiposa hutakuwa kujisafisha na kidole kupunguza.
Na Kuna wakati huuoni kabisa ila ukifanya mapenzi unaanza kutoka japo kidogo sana.hiyo ni dalili huyo hajafanya Kwa mda mrefu.
Na Kuna hao Sasa unaowatokaa Kwa awamu Fulani Kwa wingi wasipojisafisha wakikutana na mwanaume anaweza ingiza akitoa mashine inakuwa nyeupee kama imepakwa maziwa ya mtindi.sio sawa.
Na Kuna wengine ni wagonjwa mfano candidiasis,maambukizi mengineyo.hawa huwa baadhi Wana harufu pia kuwashwa.

Wanaume mna safari ndefu kuwaelewa wanawake!
Nimekuelewa hata Mimi nimewahi kukutana navyo kwa demu wangu msafi ninayemuamini
 
Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”

Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”

Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.

Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Mimi ikitokea nimepewa mamilioni niandike ujinga kama uliouandika,siandiki.Tafakari.
 
Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”

Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”

Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.

Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Huwezi Kuta mauchafu Kwa watu wazima hata siku Moja ila hivyo vidada vyenu ni madampo.
 
Maji ya mchele yanakua km ujiuji mweupe mweupe hivi ule unaokutoka ukiwa umezidiwa mpaka unachafua chupi, yeye ndio hua anauona sasa kakutana na mti mkavu hautoi maji macho yamemtoka imekuaje?
Unavoni refer kama umeshawahi kuuona huo ujiuji nikiwa nimezidiwa , ungesema tu general unahisi usingeeleweka ?ushawahi kuuona uji wangu nikiwa nimezidiwa? Kukosa adabu huko muone....
 
Back
Top Bottom