Wadada wapewe maua yao kwa kukuza mziki wa Bongo

kiwiko

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
1,308
2,070
Yes.

Kuanzia whatsapp status, instagram videos, tiktok na mitandao kibao wadada wamekua mstari wa mbele kutumia mziki wa bongo kwenye post zao.

Hii imekuza sana mziki wetu. Unakuta mdada gadem super kisu, lemtindiz and ameumbika. You know (RIP Lemutuz) kapost status ikisindikizwa na Bongo fleva.

Wadada wa kibongo pokeeni maua yenu. Mchango wenu unaonekana.
 
Back
Top Bottom